Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Kajojoe ulale we mrembo.
Last edited by a moderator:
kwa hiki kizazi cha dot com utavaa style zote, utatembea style zote na kumwaga mashairi ya kusifia, ukweli uko palepale pesa kwanza ndio kivutio nani anataka misifa
hongera mkuu una nyota ya ukimwi
kajifunze kuandika kwanza pwoint ndo nini? Alafu kwa maandishi yako tu tongozo ujui pia,alafu Kakuambia nani ukimsifia mwanamke analainika,sie wengine ukisifia twatoka nduki!
Umeona eei ! Sasa huko kufunguka si ndio huko ! Yaani nikwambie Dada nakupenda ! hih ! Nimekukuta gesti ?Hahahahahaha Mie na kusifiwa tofauti,wee kama umenipenda funguka sio waanza misifa mara ooooh una umbo kama NIKIMINAJ wakati najua sina nakutoa nduki
Money can not buy love ! Lakini maneno yanaweza kununua mapenzi !Hiyo hela huwa wanaoiulizia ni vile vichangu doa ,hawa wakikuona hauna hela wala huwaoni tena wanakustukia na mapema ila kama unawapenda na utawahitaji basi mistari tu inatosha hela wataisahau ,utamsikia mi sipendi ela zako ,we wacha tu wanasema maneno mazuri yanamtoa nyoka pangoni ,sasa hiyo kumtoa nyoka pangoni ,unamkuta mdad ana hela kushinda wewe ,vihela vyako vinasinyaa ,baada ya mdada kujiumauma unajiumauma wewe !kwa hiki kizazi cha dot com utavaa style zote, utatembea style zote na kumwaga mashairi ya kusifia, ukweli uko palepale pesa kwanza ndio kivutio nani anataka misifa
kajifunze kuandika kwanza pwoint ndo nini? Alafu kwa maandishi yako tu tongozo ujui pia,alafu Kakuambia nani ukimsifia mwanamke analainika,sie wengine ukisifia twatoka nduki!
Nilienda msalani mara moja ngoja nilale
hongera mkuu una nyota ya ukimwi
Ukimwi tu mi haunitishi yaani ndani ya miaka 30..umeua watu ml 50....labda uniambie SPANISH FLU, BLACK DEATH na EBOLA hapo sawa....ukimwi ukipata Leo unakufa baada ya miaka 10.
Ukishamvutia mwanamke ile kakuona tu....the frst aproach yako kwake ushampata uyo...ile kuongea huwaga nikukamilisha tu mambo....lakini akisha kukubali ulivo...ukimsifia anafurah zaid....ila akiwa hajakukubali msifie uone jibu lake...aseee
hivi nimekutisha au nimekupa hongera ?
<br>mbona wewe mwenyewe unaandika hovyo?
after you no more
kwani siku hizi kuna kutongozana? mi mpaka uanze kunambia uo ujinga ujinga ujue sikutaki na wala sikupendi..... ila nikikupenda hata kutongozana hakupo, unajikuta automatically tunaitana baby, hun, boo... etc. mwishowe mambo yanakuwa mambo