Lakini dada NK wanawake wa hivo ni waaminifu sana kwenye ndoa vitu nitanunua tu lakini hata nikisafiri mwaka na amani, halafu si mpaka nifanye kosa kubwa ndio anavunja vitu ?Kuvunja vitu ni kuppenda, wivu au hasira? Sioni uhusinao kati ya uharibifu wa mali na kupenda. watu wa hivyo ni wabaya sana kwani jua wazi maisha ya ndoa ugomvi wa hapa na pale ni part na parcel. Sasa atakuwa anakutia hasara kila siku. mkigombana anavunja vioo vya gari. Kesho anavunja TV. Mtaendelea kweli. I hate that. My colleague had a similar problem. Mkewe wivu mbaya. Yaani kila siku wanaanza kununua vitu upya ndani. Mara utasikia wife kachoma moto nguo. Mara wife kavunja vioo vya gari. Taabu kweli kweli.
Mbembeleze bana huyo ndio wa kuoa alikupa moyo wake wote.hadi sasa hatujalala, ni yeye na vilio tu
kumbe kuna majin ya kichaga loh!Nina girlfriend wangu ambaye amekuwa ni mchumba wangu ila huenda kuanzia sasa uchumba umeisha baada ya kugundua kuwa nimemdanganya.
Nilipokuwa chuo nilizaa na wanawake wawili tofauti si unajua tena mambo ya ushamba.
Baada ya kupata kazi nikapata mchumba ambaye ndiye huyu sasa. Tuna mwaka mmoja na nusu na kwa kipindi hicho chote sikuwahi kumweleza kuwa nina watoto wawili. Yeye alikuwa anajua kuwa ninao wawili. Moto wake si mdogo, kavunja vyombo vyote kabatini, kavunja dressing table, kavunja coffee table yaani ni kasheshe, binti kapandisha majini ya kichaga. Najaribu kumtuliza hatulii, naombeni mnisaidieni kwani nampenda sana na ninamuhitaji maishani na sikupanga kumuumiza moyo
Kagundua mwenyewe
Dah.. pole saana!... kuwa muwazi zaidi kwa atakaye fuataia.... pia jaribu mbembeleza atatulia
jamani kweli kwasasa kuna mtu asiyependa mtt wa kuzaa mwenyewe?uwoga wa kuwa mkweli utafanya watoto wako waje wateswe hapo baadae.....
mwambie huyo msichana wako advantage ya wewe kuzaa kabla ni kuwa hutamsumbua sana azae..au azae mtoto wa jinsia ipi?
atakuwa free zaidi hata kutokuzaa....
jamani kweli kwasasa kuna mtu asiyependa mtt wa kuzaa mwenyewe?
huwezi jua afya yake ya uzazi....
uwoga wa kuwa mkweli utafanya watoto wako waje wateswe hapo baadae.....
mwambie huyo msichana wako advantage ya wewe kuzaa kabla ni kuwa hutamsumbua sana azae..au azae mtoto wa jinsia ipi?
atakuwa free zaidi hata kutokuzaa....
Dah! Inaonyesha ni jinsi gani watu tusivyopenda watoto tusiowazaa.
Nina girlfriend wangu ambaye amekuwa ni mchumba wangu ila huenda kuanzia sasa uchumba umeisha baada ya kugundua kuwa nimemdanganya.