Uwongo Mwingine Bwana, Eti Costa 4 Zilibeba Wafuasi 1,200 wa CHADEMA

Mkuu, umesahau na zile Fuso za CDM zilizokuwa zinasomba watu kutoka Kilimanjaro na Arusha!
Ukiongeza na hawo wa kwenye hizo Costa ndio unapata hiyo hesabu
Ushadandia na huku, Mume utampata tu usijali,na lazima ukubali kuwa unalala BARE ili awe anakushughulikia vyema
 
Mkuu, umesahau na zile Fuso za CDM zilizokuwa zinasomba watu kutoka Kilimanjaro na Arusha!
Ukiongeza na hawo wa kwenye hizo Costa ndio unapata hiyo hesabu

mkuu izo fuso za cdm mbona umezkomalia sana?
 
hili gazeti la uhuru, huwa linagawiwa bure misikitini na kwenye vijiwe vya gahawa...
 
Labda lile trans tren la mbagala-posta miaka ile nakumbuka tulikuwa shule,au kama meli ni santolini mtwara-dar
 
hahahaha!!!

ahsante mods kwa kunitoa lupango. nilikuwa ninakosa mambo mingi.

mabasi 4. yamebeba watu 1200.

1200/4=300.

yaani is it posibo basi 1 kubeba watu 300?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…