Uwongo Mwingine Bwana, Eti Costa 4 Zilibeba Wafuasi 1,200 wa CHADEMA

Mkuu, umesahau na zile Fuso za CDM zilizokuwa zinasomba watu kutoka Kilimanjaro na Arusha!
Ukiongeza na hawo wa kwenye hizo Costa ndio unapata hiyo hesabu
Ushadandia na huku, Mume utampata tu usijali,na lazima ukubali kuwa unalala BARE ili awe anakushughulikia vyema
 
Mkuu, umesahau na zile Fuso za CDM zilizokuwa zinasomba watu kutoka Kilimanjaro na Arusha!
Ukiongeza na hawo wa kwenye hizo Costa ndio unapata hiyo hesabu

mkuu izo fuso za cdm mbona umezkomalia sana?
 
hili gazeti la uhuru, huwa linagawiwa bure misikitini na kwenye vijiwe vya gahawa...
 
Labda lile trans tren la mbagala-posta miaka ile nakumbuka tulikuwa shule,au kama meli ni santolini mtwara-dar
 
Katika magazeti yanayoongoza kwa uwongo TZ ni Uhuru likifuatiwa kwa karibu na Habari Leo. Leo nimecheka sana gazeti la Uhuru linasema Costa 4 zilikamatwa na zilikuwa zimebeba wanachama 1,200 wa Chadema na picha za Costa zimeonyeshwa uk wa mbele. Uwongo huu utawafikisha wapi? labda ingekuwa ni kuku ndio ningeenea. Natamani CCM wapigwe chini nione UHURU itaongoza na habari gani

hahahaha!!!

ahsante mods kwa kunitoa lupango. nilikuwa ninakosa mambo mingi.

mabasi 4. yamebeba watu 1200.

1200/4=300.

yaani is it posibo basi 1 kubeba watu 300?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom