Uwiiiiiiiii, TCU mnazidi kunipandisha presha!

nimeona idad ya wa2 walioapply,illegible na walioweka kama first choice

ina maana kwa first choice ndo wameanza kuchagua so zoezi bado linaendelea. mie mdogo wangu 4th choice aliyojaza eligible applicant ni 63 na course capacity ni 76
 
Back
Top Bottom