Uwiii napata kiraruraru

Uwiii napata kiraruraru

...ukiona neno mtego limetumika,chukua tahadhari,si mahala sahihi...
 
Katika maisha yangu sijawahi kupata uchizi wa mtima kama sasa kwani mpaka nahisi kupata kiraruraru kwani kuna dada mmoja naishi nae du mpaka majanga yaani full kunitega afu kuna mtu nampenda alafu sitaki kumsaliti ila sasa imezidi iyo mitego mpaka nashindwa nifanye nini jamani naombeni ushauri wenu coz niko segera
Ikiwa kweli kuna mtu unampenda wala si tatizo....manake kupenda kunakwenda na kusacrifice. Ukipenda unaweka nukta unasema sasa basi sitaki tena habari za kuwa na kila anayevutia macho yangu. Ukiamua hivo itakusaidia. Kama huwezi basi usiidhulumu nafsi yako.
 
ikiwa kweli kuna mtu unampenda wala si tatizo....manake kupenda kunakwenda na kusacrifice. Ukipenda unaweka nukta unasema sasa basi sitaki tena habari za kuwa na kila anayevutia macho yangu. Ukiamua hivo itakusaidia. Kama huwezi basi usiidhulumu nafsi yako.

kwaiyo akili kumkichwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom