platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,548
- 11,532
Acha matusi basi[emoji1] [emoji1]maskini ya mungu Arsenal, yani yeye kila droo na Barcelona tu kumbe alikua anawekwa kwanza keenye friji !!!!!!!!
Acha matusi basi[emoji1] [emoji1]maskini ya mungu Arsenal, yani yeye kila droo na Barcelona tu kumbe alikua anawekwa kwanza keenye friji !!!!!!!!
Atakemeaje wakati mambo hayo hata FIFA yalikuwepo?wewe nawe sijui umekula maharage ya wapi,kumbuka Sepp alikuwa Raisi wa FIFA,hivyo UEFA ilikuwa chini yake,kama aliona uozo kwa nini hakukemea kipindi kile?Mbona hasemi ilikuwaje mpaka Qatar wakapata uandaaji wa kombe la dunia 2022?
maskini ya mungu Arsenal, yani yeye kila droo na Barcelona tu kumbe alikua anawekwa kwanza keenye friji !!!!!!!!