D Davan JF-Expert Member Joined Jun 15, 2020 Posts 1,125 Reaction score 1,415 Nov 10, 2020 #1 ZANZIBAR watu milioni 2 wabunge zaidi ya 40. DAR-ES-SALAAM watu milioni 6 wabunge 10. Vigezo gani huangaliwa kuweka idadi ya wabunge?
ZANZIBAR watu milioni 2 wabunge zaidi ya 40. DAR-ES-SALAAM watu milioni 6 wabunge 10. Vigezo gani huangaliwa kuweka idadi ya wabunge?
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 21,643 Reaction score 43,032 Nov 10, 2020 #2 Zanzibar ni nchi usiilinganishe na mkoa kama wa Kusini Pemba
K Kaharo JF-Expert Member Joined Sep 26, 2014 Posts 520 Reaction score 648 Nov 10, 2020 #3 Huko ni missuse of resources, Zanzibar inatakiwa iwe mkoa wenye wilaya mbili na majimbo mawili tu ya uchaguzi, unguja na pemba.
Huko ni missuse of resources, Zanzibar inatakiwa iwe mkoa wenye wilaya mbili na majimbo mawili tu ya uchaguzi, unguja na pemba.
K Kaharo JF-Expert Member Joined Sep 26, 2014 Posts 520 Reaction score 648 Nov 10, 2020 #4 "Ukipiga filimbi Zanzibar, watu wote wanasikia" - Ali Kessy, mbunge mstaafu wa Nkasi kaskazini.
D Davan JF-Expert Member Joined Jun 15, 2020 Posts 1,125 Reaction score 1,415 Nov 10, 2020 Thread starter #5 Nchi maana yake nini? Wajumbe wa baraza la wawakilishi wanafanya kazi gani? Kinyungu said: Zanzibar ni nchi usiilinganishe na mkoa kama wa Kusini Pemba Click to expand...
Nchi maana yake nini? Wajumbe wa baraza la wawakilishi wanafanya kazi gani? Kinyungu said: Zanzibar ni nchi usiilinganishe na mkoa kama wa Kusini Pemba Click to expand...
D Davan JF-Expert Member Joined Jun 15, 2020 Posts 1,125 Reaction score 1,415 Nov 10, 2020 Thread starter #6 Kinyesi said: Huko ni missuse of resources, Zanzibar inatakiwa iwe mkoa wenye wilaya mbili na majimbo mawili tu ya uchaguzi, unguja na pemba. Click to expand... Kupeana ulaji kila mtu apate
Kinyesi said: Huko ni missuse of resources, Zanzibar inatakiwa iwe mkoa wenye wilaya mbili na majimbo mawili tu ya uchaguzi, unguja na pemba. Click to expand... Kupeana ulaji kila mtu apate
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 21,643 Reaction score 43,032 Nov 10, 2020 #7 Davan said: Nchi maana yake nini? Wajumbe wa baraza la wawakilishi wanafanya kazi gani? Click to expand... Hao baraza la wakilishi ndiyo mhimili mmoja wapo kati ya mitatu ya nchi ya Zanzibar
Davan said: Nchi maana yake nini? Wajumbe wa baraza la wawakilishi wanafanya kazi gani? Click to expand... Hao baraza la wakilishi ndiyo mhimili mmoja wapo kati ya mitatu ya nchi ya Zanzibar
Auz JF-Expert Member Joined Apr 6, 2016 Posts 13,738 Reaction score 11,644 Nov 11, 2020 #8 Davan said: ZANZIBAR watu milioni 2 wabunge zaidi ya 40. DAR-ES-SALAAM watu milioni 6 wabunge 10. Vigezo gani huangaliwa kuweka idadi ya wabunge? Click to expand... Siasa ni uongo. Ndio hali halisi.
Davan said: ZANZIBAR watu milioni 2 wabunge zaidi ya 40. DAR-ES-SALAAM watu milioni 6 wabunge 10. Vigezo gani huangaliwa kuweka idadi ya wabunge? Click to expand... Siasa ni uongo. Ndio hali halisi.
D Davan JF-Expert Member Joined Jun 15, 2020 Posts 1,125 Reaction score 1,415 Nov 11, 2020 Thread starter #9 Auz said: Siasa ni uongo. Ndio hali halisi. Click to expand... Kila MTU ale keki ya taifa
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,936 Reaction score 30,048 Nov 11, 2020 #10 Davan said: ZANZIBAR watu milioni 2 wabunge zaidi ya 40. DAR-ES-SALAAM watu milioni 6 wabunge 10. Vigezo gani huangaliwa kuweka idadi ya wabunge? Click to expand... Mshahara, Posho na Stahiki zingine anazolipwa Mbunge wa Zanzibar ni sawa na anazolipwa Mbunge wa Bara?
Davan said: ZANZIBAR watu milioni 2 wabunge zaidi ya 40. DAR-ES-SALAAM watu milioni 6 wabunge 10. Vigezo gani huangaliwa kuweka idadi ya wabunge? Click to expand... Mshahara, Posho na Stahiki zingine anazolipwa Mbunge wa Zanzibar ni sawa na anazolipwa Mbunge wa Bara?
D Davan JF-Expert Member Joined Jun 15, 2020 Posts 1,125 Reaction score 1,415 Nov 11, 2020 Thread starter #11 Shark said: Mshahara, Posho na Stahiki zingine anazolipwa Mbunge wa Zanzibar ni sawa na anazolipwa Mbunge wa Bara? Click to expand... Sawa kila kitu
Shark said: Mshahara, Posho na Stahiki zingine anazolipwa Mbunge wa Zanzibar ni sawa na anazolipwa Mbunge wa Bara? Click to expand... Sawa kila kitu
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,936 Reaction score 30,048 Nov 11, 2020 #12 Davan said: Sawa kila kitu Click to expand... Hadi zile lita 2,000 za mafuta kwa mwezi? Sasa Lita 2,000 si utazunguka Zanzibar yote na mafuta yasiishe?
Davan said: Sawa kila kitu Click to expand... Hadi zile lita 2,000 za mafuta kwa mwezi? Sasa Lita 2,000 si utazunguka Zanzibar yote na mafuta yasiishe?
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,297 Reaction score 18,046 Nov 11, 2020 #13 Davan said: ZANZIBAR watu milioni 2 wabunge zaidi ya 40. DAR-ES-SALAAM watu milioni 6 wabunge 10. Vigezo gani huangaliwa kuweka idadi ya wabunge? Click to expand... Tumefika mahali na kusahau kwamba Zanzibar ni nchi
Davan said: ZANZIBAR watu milioni 2 wabunge zaidi ya 40. DAR-ES-SALAAM watu milioni 6 wabunge 10. Vigezo gani huangaliwa kuweka idadi ya wabunge? Click to expand... Tumefika mahali na kusahau kwamba Zanzibar ni nchi