Uwezo wa Zembwela

najua kweli kwa zembwela skuli izi noti richabo, najua jamaa ni mtu wa kijiti ila kiukweli USWAZI yake naikubali sana kuliko huu uji uliopost hapa
 
hutumii kipaji kujadili mfuko wa bei,madawa ya kulevya,mapungufu ya katiba,uendeshaji wa shughuli za kiserikali na vyama
 
Daaaaaa, sisi ndio wa bongo bana sijui tumelogwa au ni makusudi huwa tunafanya ili uonekane na ww ume......t@_@
 
Hivi uswazi bado ipo? Na kama jibu ni ndiyo ni lini na saa ngapi?
 
ila kipindi cha uswazi jamaa ameziba pengo ile inavyotakiwa...big up sana
 

Mwanzoni nimependa ulivyokuwa unamshauri jamm lakn KENGE KAPU UMENIFANYA NIFUTE MSG YAKO
 
Mkuu umemaliza kila kitu. safi sana.
 
Nimekuwa namsikiliza huyu jamaa kwa muda sasa lakini nimepata wasiwasi na uwezo wake wa kuchambua mambo na pia elimu yake.



Pia wewe nimesoma uzi wako nimepata wasiwasi juu ya uwezo wako wa kuchambua mambo na kujenga hoja
 
Jamaa ana uwezo mzuri sana wa kuchambua mambo na huwa hakwepeshi....yuko vizuri!
 
Ana uwezo na ushawishi wa kusikilizwa.....ingawa kuna wakati nikimcheki kwenye uswazi ni kama anamuenzi Bob Marley.....au anazitiririsha beer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…