rajabkisauti
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 566
- 316
Moja ya maswali magumu niliyoulizwa na my frend wangu ni kuwa binaadamu jicho lake lina megapixel ngapi?? Hii nikutokana nilimwambia jicho la binadamu ni mfano mzuri wa kamera ya simu yake (iphone 6) haikuishia hapo akauliza ubongo wa binaadamu una RAM , HDD na CPU ngapi kimakadirio?...tusaidiane kupeana majibu