Uwezo wa Mwigulu ndio huu hapa

Uwezo wa Mwigulu ndio huu hapa

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,441
Ebu chukua muda kidogo na kusoma alichoandika huyu so called Deputy Minister of Financy of what called Tanzania!!!!!

KWA WANA CCM WENZANGU:

Kazi ya kuigaragaza CUF na kuiweka Mahali wanapostahili
Ilifanyika Mapema na kwa Ustadi Mkubwa, Wakati tuko ktk
Mchakato wa Kuishuhulikia CHADEMA ili nayo tuwaweke
Wanapostahili, Bunge la Katiba likajitokeza na Kuwanusuru,
Wasiwasi na Hofu ilowapata, wakaamua kuunda Njama na
Kuwakokota CUF ambao tayari hawjitambui Chini ya Bango
la UKAWA kwa sasa wako katika mataarisho ya kuizunguka
Nchi ati kuwaelimisha wananchi juu ya Katiba. Jambo jema ni
Watanzania wako Makini. Itawashangaza Watanzania kuwaona
Watu walitoka Bungeni kwa kukimbia Majukumu walokabidhiwa
Rasmi wakipita mitaani na Hadhi za Ualimu wa KATIBA, katiba
ambayo RASIMU yake tu Imewalewesha, Wakachukuwa POSHO
na KUTOWEKA!! Ni juu yetu Wana CCM kuwatahadharusha
Wananchi Wasipoteze wakati wao kuwasikiliza Watu Walofeli
kwa Kushindwa Kutekeleza Wajibu wao na Majukumu Waliopewa
na Badala yake Kulalamika na kutoa Visingizio kama Watoto wadogo!!
 
sasa huyo ni Minister halafu ana majukumu makubwa,,,ok,,wasio minister na wasio na majukumu itakuwaje???
 
Hatupaswi kumlaumu Mwigulu, wa kuwalaumu ni waliomuweka hapo, kwanza ni wapiga kura wake, na pili ni JK!
 
Wakuu tukianza apa kumdiscus huyu jamaa ni kama tunapoteza muda halaf anaboa mpk bas
 
Huwa siwajadili wauaji/Interahamwe wa ki Tz
 
Wakuu
tukianza apa kumdiscus huyu jamaa ni kama tunapoteza muda halaf anaboa
mpk bas

Kumbe maitarahamwe yanatumia mabilioni ya walipa kodi ili kudhoofisha
vyama vya upinzani ambavyo vipo kisheria badala ya kutekeleza ahadi
walizotoa kwa watanzania. Hawa ni manyani tu tuwapuuze.
 
Mwigulu Chemba ni JANGA LA TAIFA.
Yupo tayari kuuwa ili kuzuia wapinzani wasifanye shughuli zao za kisiasa.
Kuna sehemu nilisoma wanajipongeza na wenzio kwa kumaliza kazi ya kuondoa uhai wa Dr. Mvungi na kwa kumtumia Zitto kuivuruga CDM.
 
mwigulu ni kigoli hana hadhi ya kumjadili humu,ni ntu ndogo sana tusipoteze mda.ni naibu waziri hovyo awezi kujenga hoja mbele za watu,akikutanishwa na wajanja wenye kujua wanasema nini wanamshushuaga mbaya.huyu ndo naibu waziri wa fedha,cheo hiki ni kikubwa kwa waziri na naibu wake.gavana ni professor wataongea nini hawa wanaojivunia na vumasters vyao.
 
Kama kuna sehemu ya kuupima udhaifu Wa mkulu wetu pia ni kwa kumteua huyu fuska na muuaji Mchemba kuwa waziri.Huwa najiuliza si bora angemweka tu Mkulo.Au asifanye mabadiliko kabisa.
 
ukitaka mkuu wa kaya akupe ulaji lazima uwe mlopokaji, mikono iliyo jaa damu za watu wasio na hatia. kwa ujumla una uko tayari kuua na kusingizia watu ugaidi kwa vyama vya upinzania basi wewe maisha yamekunyookea, ndiyo mfano wa hii taka inayo jadiliwa hapa, hiki ni kichefu chefu na adu wa watu wenye mapenzi mema na nchi hii
 
Matatizo ya akili ndogo kutawala akili kubwa.Mwisho wake/wao umekaribia
 
Yupo sawa, mseme msemavyo Mwigulu ni moto kwetu maana yeye anacheze vyovyote mtakavyo , mkipaki basi yeye anafunga kwa free kick , mkiweka chini yeye anafunga kwa kisigino mwisho wa game ni 5-0 mtakubali tuu na Ukawa yenu kwa wananchi wamegundua c lolote c chochote.
 
Back
Top Bottom