Uwezo wa mwalimu zaidi ya kufundisha

Richbest

Senior Member
May 23, 2011
101
24
Habar za kazi wapendwa?Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu mwaka huu bachelor of education ktk arts subjects nataman kufanya kazi kwa kutumia elimu yangu hii ila sio kufundisha je inawezekana na ni kazi zipi?naomben msaada wenu katika hilo ikiwezekana na sehemu ambazo naweza kupata hizo ajira sababu najua kuna watu wenye kuzijua humu jamvini.Asanten sana
 
Afisa elimu, muelimishaji rika and language facilitator or coordinator BUT upatikanaj wake ni noumer wangu.
 
Back
Top Bottom