Uwezo wa askari kukimbia

Heheh nyie askari wanakimbia jamani,nyie wadharauni kwa sababu hamjawahi ona mshike shike wake.

Alafu ukiangalia hiyo picha huyo afande alivounyoosha huo mguu,dogo huyo atakua alidakwa tu
 
Kama una mashaka nenda central au kambini kwao kawachokoze halafu mfukuzane ndiyo ulete mrejesho hapa jukwaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…