Uwezo Mdogo wa Ufahamu Lumumba ni wa Asili au Wakujitengenezea?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
40,374
72,891
Swali liko wazi linajitosheleza. Nimeuliza kwa sababu ni wazi Lumumba kwa maana ya ccm kuna wasomi, wataalamu na wabobezi wengi sana wa taaluma mbalimbali. Jee ni kwa nini basi hoja, mipango na mikakati inayofanyika na kusmamiwa na watu hao inaonyesha uwezo mdogo wa ufahamu? Ni asili yao kuwa hawana ufahamu (akili) au ni jambo la makusudi kuwa hivyo?
Mfano hata watoa hoja hapa JF ambao ni wazi wanatokea Lumumba ni vichekesho tuu.
 
Back
Top Bottom