Ngavu
New Member
- Dec 7, 2020
- 1
- 0
Naombeni msaada mimi ni muhitimu wa kidato Cha nne kwenye selform yangu nilijaza advance ndo chaguo la kwanza lakini Kwa Sasa nimebadili maamuzi nahitaji kwenda health college nikibadili Tahasusi nikiweka health college ndo chaguo la kwanza pale serikari utakapo toa nafasi je ntachaguliwa? Endapo matokeo yangu ni ... Physics "D" Chemistry "C" Biology "C" English "B" Mathematics "F" Nina Div ll ya point 21