Head current
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 479
- 128
wakuu poleni na majukumu! kwa wale wote waliojiunga na satelite dish aina ya ZUKU nawakumbusha kubadiliisha uelekeo kabla ya tarehe 28may2013 kwa kuwa kwa kipindi hiki kilichobaki utaratibu wa kubadilisha uelekeo ni bure na hakuna gharama zozote unazotozwa na fundi! sababu za kubadilisha uelekeo ni kuboresha huduma zao pamoja na kuongeza chaneli! nawasilisha!