Uwekeze au ujenge Nyumba ya kupangisha?

Uwekeze au ujenge Nyumba ya kupangisha?

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
5,581
Reaction score
10,110
kuwekeza tunaongelea marketing funds ama bond hasa hasa zenye free risk. Kujenga nyumba nizile za kupangisha kwaajili ya wapangaji. Nadhani kila kimoja kina faida na hasara yake.

Mfano mtu aliyejenga nyumba ya milion 50 amaweza kupokea kati ya laki 5 kwa mwezi sawa na milion 6 kwa mwaka ndani ya miaka 20 atakuwa amekusanya milion 120.

Aliyewekeza kwenye Marketing fund zenye compund interest tsh 50M ndani ya miaka 20 ana zaidi ya milion 400 mtazamo wako ni upi mdau tujifunze.
 
kuwekeza tunaongelea marketing funds ama bond hasa hasa zenye free risk. Kujenga nyumba nizile za kupangisha kwaajili ya wapangaji. Nadhani kila kimoja kina faida na hasara yake . Mfano mtu aliyejenga nyumba ya milion 50 amaweza kupokea kati ya laki 5 kwa mwezi sawa na milion 6 kwa mwaka ndani ya miaka 20 atakuwa amekusanya milion 120 . Aliyewekeza kwenye Marketing fund zenye compund interest tsh 50M ndani ya miaka 20 ana zaidi ya milion 400 mtazamo wako niupi mdau tujifunze.
Nyumba ni Bora zaidi, kwa sababu thamani ya ardhi inapanda Kwa Kasi. Kiwanja kilichouzwa M1 miaka 20 iliyopita sasa hivi mara 20 au 15.
 
Mtazamo wangu mimi,nyumba ya kupangisha inafaa zaidi kwasabu,miji inakua hivyo lakitano ya nyumba kwa mwezi,ndani ya miaka 2 lazima iongezeke,hivyo inapanda thamani kila uchao
Logde au hotel nadhani ndiyo uwekezaji sahihi, hizo nyumba ni kutafuta lawama kwa wapangaji na ukerebishaji wa mara kwa mara kwa upande wa rangi.
 
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni hazina ya taifa na kielelezo cha uongozi wa kisasa unaojengwa juu ya hekima, uvumilivu na maono ya mbali. Ni kiongozi ambaye anasimamia misingi ya haki, usawa na maendeleo ya watu wote bila ubaguzi. Ujasiri wake
 
kuwekeza tunaongelea marketing funds ama bond hasa hasa zenye free risk. Kujenga nyumba nizile za kupangisha kwaajili ya wapangaji. Nadhani kila kimoja kina faida na hasara yake . Mfano mtu aliyejenga nyumba ya milion 50 amaweza kupokea kati ya laki 5 kwa mwezi sawa na milion 6 kwa mwaka ndani ya miaka 20 atakuwa amekusanya milion 120 . Aliyewekeza kwenye Marketing fund zenye compund interest tsh 50M ndani ya miaka 20 ana zaidi ya milion 400 mtazamo wako ni upi mdau tujifunze.
Laki 5 kwa mwezi vyumba vingapi?? Hssabu zako umezipitia mara mbili kweli??

Milion 50 unajenga nyumba yenye vyumba vingi tena self lets say vyumba 10, kila kimoja kwa mwezi 150,000 kwa mkoa niliopo mimi hapo zidisha kwa mwezi vyumba vyote 10 ikiwa imejaa, 10x150,000 sh ngapi mwezi mmoja??
 
Hicho kiwanja utakuwa umeokota mkuu pamoja na material yakujenga ama?
 
kuwekeza tunaongelea marketing funds ama bond hasa hasa zenye free risk. Kujenga nyumba nizile za kupangisha kwaajili ya wapangaji. Nadhani kila kimoja kina faida na hasara yake.

Mfano mtu aliyejenga nyumba ya milion 50 amaweza kupokea kati ya laki 5 kwa mwezi sawa na milion 6 kwa mwaka ndani ya miaka 20 atakuwa amekusanya milion 120.

Aliyewekeza kwenye Marketing fund zenye compund interest tsh 50M ndani ya miaka 20 ana zaidi ya milion 400 mtazamo wako ni upi mdau tujifunze.
Kupanga ni kuchagua maana hata usipojenga utaenda kupanga pia unless uwe mtumishi wa serikali unakaa nyumba za bure.
 
kuwekeza tunaongelea marketing funds ama bond hasa hasa zenye free risk. Kujenga nyumba nizile za kupangisha kwaajili ya wapangaji. Nadhani kila kimoja kina faida na hasara yake.

Mfano mtu aliyejenga nyumba ya milion 50 amaweza kupokea kati ya laki 5 kwa mwezi sawa na milion 6 kwa mwaka ndani ya miaka 20 atakuwa amekusanya milion 120.

Aliyewekeza kwenye Marketing fund zenye compund interest tsh 50M ndani ya miaka 20 ana zaidi ya milion 400 mtazamo wako ni upi mdau tujifunze.
Nyumba ya mil 50 hauwezi kuipangisha kwa sh laki 5.

Maamuzi ya uwekezaji yanatengemea na malengo ya mwekezaji. Kama unahitaji kuwa na pesa ya dharura, kuwekeza kwenye mifuko kunaweza kufaa zaidi. Iwapo unalenga low risk low maintenance investment, nyumba ni option nzuri.

Zote mbili ni aina nzuri za investment zinazofaa kuwa sehemu ya diverse investment portfolio. Kwahiyo, ideally you should have both.
 
Mfano mtu aliyejenga nyumba ya milion 50 amaweza kupokea kati ya laki 5 kwa mwezi sawa na milion 6 kwa mwaka ndani ya miaka 20 atakuwa amekusanya milion 120.

Nyumba ya kupanga ni upotevu wa pesa tu, faida yake huchukua muda mrefu kurejea...

Kama una ardhi basi weka jengo la kupangisha kwa mtindo wa vyumba vyumba mathalani "fremu" , lodge, BnB n.k...
 
Nyumba ni Bora zaidi, kwa sababu thamani ya ardhi inapanda Kwa Kasi. Kiwanja kilichouzwa M1 miaka 20 iliyopita sasa hivi mara 20 au 15.
Hesabu mbovu sana hizi,,ukichukua 20 milioni ukagawanya kwa idadi ya miaka,miezi,na siku unapata huyu mtu alikua anaingiza shilingi ngapi kwa siku??
 
Back
Top Bottom