Habari Tanzania !
Hivi vyama vya siasa wana haki ya kuanzisha miradi ya kiuchumi - jamii kama chanzo cha mapato kwa lengo la kujiendesha?
Natamani tuwapime kwa Uwekezaji ndani ya vyama vyao ndio sisi wananchi tuwe tunawapima uwezo wao kujiendesha na uwezo wa kiuongozi.
Asante.