Uwekezaji Katika Mfuko wa JIKIMU UTT

Sir mtafutaji

Member
Joined
Feb 27, 2025
Posts
8
Reaction score
9
Habari wadau wa UTT,
Hivi kwa wale wenye uzoefu ukiwa umewekeza kiasi cha shilingi Milioni 2 na laki moja jikimu fund utapata kiasi cha shiling ngapi kwa kila miezi 3 yaani quoter 1, quoter 2, quoter 3 na quoter 4?
na je hicho kiwango huwa kinawekwa muda gani mfano miezi mitatu ya mwanzo bimana mwezi wa kwanza hadi wa tatu wataweka lini kati ya hiyo miezi ni mwishoni mwa miezi au mwishoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…