BabaPrince Senior Member Joined Jan 10, 2016 Posts 137 Reaction score 57 May 20, 2026 #21 Mbacho Massawe said: Kwa nini usinunue hisa za bank moja yenye faida kubwa. Click to expand...
BabaPrince Senior Member Joined Jan 10, 2016 Posts 137 Reaction score 57 May 20, 2026 #22 Ni vizuri kutengeneza portfolio ya kampuni tofautitofauti, mfano banking sector, investment nk ili kupunguza risk
Ni vizuri kutengeneza portfolio ya kampuni tofautitofauti, mfano banking sector, investment nk ili kupunguza risk
amshapopo JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 2,521 Reaction score 5,798 May 23, 2026 #23 BabaPrince said: Mwaka huu nimejipanga kununua NMB na CRDB, Huo ni uwekezaji wa uhakika, kuna hizo bank zina potential kubwa sana na growth yake iko consistency Click to expand... Dse Bank zenye uhakika ni mbili TU. NMB na CRDB ukipata mpunga nunua nusu kwa nusu then tulia subiri baada ya miaka 5....... Utakuja na vigelegele hapa
BabaPrince said: Mwaka huu nimejipanga kununua NMB na CRDB, Huo ni uwekezaji wa uhakika, kuna hizo bank zina potential kubwa sana na growth yake iko consistency Click to expand... Dse Bank zenye uhakika ni mbili TU. NMB na CRDB ukipata mpunga nunua nusu kwa nusu then tulia subiri baada ya miaka 5....... Utakuja na vigelegele hapa
JAJ FASHIONS Member Joined May 14, 2025 Posts 12 Reaction score 11 Jun 12, 2026 #24 jaman mie sio mbali sana na swali la jamà hapo juu but mie nahitaj tu kujua hisa zinaanzia sh.ngap za kitanzania
jaman mie sio mbali sana na swali la jamà hapo juu but mie nahitaj tu kujua hisa zinaanzia sh.ngap za kitanzania