Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 9,653
- 16,002
Baada ya kupokea maoni mbalimbali ya wananchi na wadau kwa sasa serikali inachofanya ni kuandaa nyaraka mbalimbali za makubaliano na mikataba kama ilivyoshauriwa na kwa kuzingatia maslahi mapana ya nchi hii ili kuanza rasmi zoezi la uboreshwaji mkubwa unatazamiwa kufanyika katika bandari.
Hongera sana Mh. Rasi samia kwa kuwa msikivu na mvumilivu katika kipindi hiki chote cha majadaliano juu ya suala hili.
HAKUNA MWENYE NGUVU WALA UBAVU WA KUUZA NCHI HII.
Hongera sana Mh. Rasi samia kwa kuwa msikivu na mvumilivu katika kipindi hiki chote cha majadaliano juu ya suala hili.
HAKUNA MWENYE NGUVU WALA UBAVU WA KUUZA NCHI HII.