Uwe na maisha mema

Pole sana mkuu, mapenzi usiyaweke serious. Chukulia mapenzi kama kitu cha ziada tu ila usiyape uzito sana utaishi kwa amani
 
Duh pole sana mkuu, wanaocomment grow up hivi kugrow up ndo kutojali mm huwa sielewi hapa, kwamba ukiondoka ama ukibaki poa tu. I think hawa tuwaite malaya.
Mkuu upo kwenye majonzi sawa na yangu, yaan umeandika hii nikataman niicopi kama ilivyo nimtumie mwanamke nliyempa moyo wangu, akili yangu na nguvu zangu mwisho akaishia kunitenda. Tena nikiwa namsomesha university. Nikakata huduma hata mwaka haukuisha amerudi nyumbani anauza duka la nguo mshahara laki1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…