Baadhi ya watu wanafikilisha sana! Nimeshangaa sana kuona Tundu lisu kakurupuka kujadili Jinsia Ili wateuliwe wabovu Azunguke inchi nzima kunanga utendaji mbovu wa RAIS!Kweli kabisaa
Mkuu umesema vema kabisa. Na ni kweli tupu. Wakati mwingine usitumie neno "UHUWIANO" maana sio kiswahili.. tumia Uhusiano au Uwiano hayo ndio maneno sahihi ya kiswahili sanifu. Nikutakie Asubuhi Njema Mkuu.Haya mambo yanatutesa sana, kwenye baraza la mawaziri tunataka uhuwiano wa kidini, kwenye timu ya taifa uhuwiano wa kidini, kwenye ajira uhuwiano wa kidini, kwanama hii hatuwezi fika popote.
Simba na Yanga uwiano wa kidiniHaya mambo yanatutesa sana, kwenye baraza la mawaziri tunataka uhuwiano wa kidini, kwenye timu ya taifa uhuwiano wa kidini, kwenye ajira uhuwiano wa kidini, kwanama hii hatuwezi fika popote.
Huyo jamaa muda ote yuko Twitter kuzodoana hafai kuwa kiongozi!Kigwangala wazari wa tweeter
Kwani wakipewa uwaziri ndio manyanyaso yanakoma!?Ccm mnajipiga dole wenyewe alafu mnanusa, juzi hapa mlisimamisha visimi kuwa chadema inanyanyasa wanawake leo hii mnadai wanawake hawana sifa ya kuingia baraza la mawaziri
Ndo hapo sasaSimba na Yanga uwiano wa kidini
Ni mawazo ya kijinga kweli
Nazidi kuwasihi watanzania wenzangu! Hoja zingine za kipuuzi tuziepuke!
Ajenda ya 50 kwa 50 Pasipo uwezo binafsi haina maana!
Inchi inahitaji maendeleo, Tunaelekea kwenye kasi ya kufanya kazi usiku na mchana!
Wanaume wenye uwezo mkubwa wapo wengi mlitaka waachwe ili wakateuliwe wanawake kisa wapaka poda!
Baadhi za hoja ukizitafakali ni za kipuuzi sana!
MMESAHAU KWAMB MAENDELEO YASIPOFIKIWA LAWAMA ZOTE MNAMPA RAIS!
RAIS NI KAMA KOCHA WA TIMU! MSIMPANGIE TIMU! maana mwisho wa siku timu ikifungwa MTAMFURUSHA!
Walioonekana ni hao kina mwalimu! Sasa kama wapo wengine panga Safu yako hapa!Kwani wanawake wenye uwezo hawapo?Kwa nini hawapo katika baraza la Mawaziri?
Kwani Tanzania hakuna wanawake wenye sifa hizi ulizozitaja za uthubutu, ujasiri, availability,Usiri, na Mlengo wa kisiasa?Walioonekana ni hao kina mwalimu! Sasa kama wapo wengine panga Safu yako hapa!
Rais anapoteuwa! Haiishi kuangalia vyeti pekee Bali pia uthubutu, ujasiri, availability kwa maana mda wote hata usiku wa manane, Usiri, na Mlengo wa kisiasa!
Mwisho wa siku kocha hupanga timu kutokana na wachezaji wanaomuelewa haraka!Najua mtakuja na hoja hovyo hovyo kutetea ujinga uliofanyika. Hakuna wanawake kwenye bunge hili wenye uwezo!? Hiyo hujajibu. Hakuna waislamu hata kumi wenye uwezo kuwa mawaziri? Hakuna wazanzibari hata watano kuwa mawaziri?!
BARAZA LA KISUKUMA HILI?!