Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 6,495
- 17,752
Lazima awe mkatoloki kubalance mzani ,limwigulu halikwepeki hapo
[emoji23][emoji23][emoji23]Si ndio jina lake
Ni takataka tu(sauti ya Haji Manara)Wote hao wawili ni hovyo ,hovyo kabisa kigogo mmoja kutokea jimbo la bariadi alisikika akiongea maneno hayo
Kwani huyo Majaliwa yeye sio MuHamas?Sasa hii nchi imekuwa madrassa.
Umesha nunua kiwanja burundi au unabwatuka tu?Nchemba ndio Kiboko ya nyie wakwepa tozo,atawanyoosha.
Umenikumbusha juzi nimeona uzi unauliza, hivi akiondoka Chongolo nani atafaa kuwa Katibu Mkuu CCM?Bado Thread Iko Active Muda Huu Katelefoni Anaundiwa Zengwe
MkuuUmenikumbusha juzi nimeona uzi unauliza, hivi akiondoka Chongolo nani atafaa kuwa Katibu Mkuu CCM?
Nikaona ubuyu unapikwa huu, hee, sijakaa sawa, naona Chongolo kajiuzulu.
Yani hata masaa 24 hayakupita.