hawa inawezekana sana. Ni power mongers of the century! Ila afadhali january kuliko Nchemba. Nchemba ni kama Jiwe, ataua sana watuNishati Mhe. January Makamba na Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba",
Lile toto lake jeuri litatupanda vichwani.Simbachawene atatufaa
Sasa hii nchi imekuwa madrassa.Waziri Mkuu ajae Ni Juma Awesso!!!Full stop
Vigogo wananyukanaSiri ya waziri mkuu atakuwa nani muda wake bado sana. Yote juu ya yote watanzania tufanye maamuzi sahihi kuelekea uchaguzi ujao
KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI ndio vyakuanza navyo
Vita ya kuteuliwa kuwa Waziri mkuu ni kubwa muno hivi sasa ndani ya CCM kuelekea 2025, mara baada ya kuwekwa wazi kwamba Rais Samia atagombea tena kiti cha urais 2025 ili kukamilisha hawamu yake ya sita.
"Miongoni mwa vigogo wanaotajwa kunyemelea kiti cha uwaziri mkuu ni Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba na Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba", limeandika gazeti la Raia Mwema.
View attachment 2352533
Kwani majaliwa kamaliza muda wake? Hivi wanamuonaje yaanj Kassimu?Vita ya kuteuliwa kuwa Waziri mkuu ni kubwa muno hivi sasa ndani ya CCM kuelekea 2025, mara baada ya kuwekwa wazi kwamba Rais Samia atagombea tena kiti cha urais 2025 ili kukamilisha hawamu yake ya sita.
"Miongoni mwa vigogo wanaotajwa kunyemelea kiti cha uwaziri mkuu ni Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba na Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba", limeandika gazeti la Raia Mwema.
View attachment 2352533
🤣🤣🤣Au huyu anafaa sana
Kikatiba hawezi kuteuliwa tena huyoKwani majaliwa kamaliza muda wake? Hivi wanamuonaje yaanj Kassimu?
Hatari sana. Muongoza usukuni hashutuki tuKatika wawili hao February ameonekana akiizungukia nchi na misafara mizito mizito. Katika safari hizo akiambata na mwandishi nguli Binyamini Natenyahu wa pale TBC taifa. Bila shaka katika kujitambulisha rasmu kwa wananchi.
Nchemba ndio Kiboko ya nyie wakwepa tozo,atawanyoosha.hawa inawezekana sana. Ni power mongers of the century! Ila afadhali january kuliko Nchemba. Nchemba ni kama Jiwe, ataua sana watu