Rais Samia kaingia madarakani watu wakiwa na matarajio ya mabadiliko makubwa. Lakini pia kuna mambo ambayo kwa makusudi au bahatio mbaya, Watanzania wengi waliaminishwa kwamba ni sahihi wakati yanatugharimu...
Hili nalo swali la msingi!Kwanini hajatwambia na mikopo mingine kutoka world bank inatumika wapi?kwanini hatuambii masharti yaliyomo kwenye matakwa ya wawekezaji wa Bandari ya Bagamoyo
Aseeeee!K[emoji117] KUMALIZIA MIRADI
U[emoji117]UDHIBITI WA CORONA
M[emoji117]MAONO KWA TAIFA
A[emoji117]ANAJALI MASLAHI YA NCHI SANA
.
.
.
.
.
.Na hizo ndiyo silaha kuu NNE za raisi wetu mpendwa .
[emoji120][emoji120][emoji25]
Tumepigwa Tena nan kitu chenye uzani wa Tani kumi Kichwani. 2025 sio mbali Nchi ita amua sio "Kudra za Mungu na Matakwa ya Katiba". Itoshe tu kusema tukaze Moyo japo 2025 tutafika tukiwa Tumechoka Saana😔😔Rais Samia kaingia madarakani watu wakiwa na matarajio ya mabadiliko makubwa. Lakini pia kuna mambo ambayo kwa makusudi au bahatio mbaya, Watanzania wengi waliaminishwa kwamba ni sahihi wakati yanatugharimu.
Mfano, Rais Samia liingia madarakani watu wakiwa wameaminishwa kwamba Corona imeondoka kupitia maombi, kwamba hatuhitaji chanjo kabisa.
Lakini pia tulifichwa kuhusu madhara ya kiuchumi yaliyoletwa na Corona au maamuzi ya Serikali yetu.
UWAZI NA UKWELI
-Huku kukiwa na kelele nyingi sana kutoka kwa wahafidhina, Rais Samia alitueleza ukweli kwamba Corona ipo, akachuku hatua kwa uwazi kabisa. Chanjo ikawekwa hadharani.
Matokeo yake ni kwamba nchi yetu sasa imepata imani zaidi kutoka wa wakezaji na watalii ambao wanafahamu kwamba tumechukua hatua hivyo hawaji kucheza pata potea.
-Lingine ni namna alivyotueleza kuhusu TOZO. Huko nyuma kulikuwa na maneno mengi ya kufunika kombe wakati uchumi wetu unaumia.
Tozo ililetwa katika uwazi, tukaambiwa kwa nini imewekwa na wapi inakwenda.
- Pia Rais Samia aliweka hadharani namna atakavyotumia fedha za mkopo takribana trilioni 1.2. Angeweza kukaa kimya lakini akafanya kila mtu ajue ili pia tuwe na nafasi ya kukosoa na kuhoji iwapo matumizi hayataenda vizuri.
RAIS SAMIA NI MKWWELI , Ni muwazi. Anasema ahata ule ukweli ambao unatuumiza na pengine utampa shida kutete kiti chake 2025.
Msema kweli mpenzi wa Mungu, Mungu hatamuacha Rais wetu.
Kunguni katika ubora wakoRais Samia kaingia madarakani watu wakiwa na matarajio ya mabadiliko makubwa. Lakini pia kuna mambo ambayo kwa makusudi au bahatio mbaya, Watanzania wengi waliaminishwa kwamba ni sahihi wakati yanatugharimu.
Mfano, Rais Samia liingia madarakani watu wakiwa wameaminishwa kwamba Corona imeondoka kupitia maombi, kwamba hatuhitaji chanjo kabisa.
Lakini pia tulifichwa kuhusu madhara ya kiuchumi yaliyoletwa na Corona au maamuzi ya Serikali yetu.
UWAZI NA UKWELI
-Huku kukiwa na kelele nyingi sana kutoka kwa wahafidhina, Rais Samia alitueleza ukweli kwamba Corona ipo, akachuku hatua kwa uwazi kabisa. Chanjo ikawekwa hadharani.
Matokeo yake ni kwamba nchi yetu sasa imepata imani zaidi kutoka wa wakezaji na watalii ambao wanafahamu kwamba tumechukua hatua hivyo hawaji kucheza pata potea.
-Lingine ni namna alivyotueleza kuhusu TOZO. Huko nyuma kulikuwa na maneno mengi ya kufunika kombe wakati uchumi wetu unaumia.
Tozo ililetwa katika uwazi, tukaambiwa kwa nini imewekwa na wapi inakwenda.
- Pia Rais Samia aliweka hadharani namna atakavyotumia fedha za mkopo takribana trilioni 1.2. Angeweza kukaa kimya lakini akafanya kila mtu ajue ili pia tuwe na nafasi ya kukosoa na kuhoji iwapo matumizi hayataenda vizuri.
RAIS SAMIA NI MKWWELI , Ni muwazi. Anasema ahata ule ukweli ambao unatuumiza na pengine utampa shida kutete kiti chake 2025.
Msema kweli mpenzi wa Mungu, Mungu hatamuacha Rais wetu.
Facts !! Ani Huyooo anae promote tozo Kwenye Nchi ya Walala hoi ni wale wale wasupport Kila ujinga wa watawala.Niseme tu ukweli, ukikuta kiongozi au mkereketwa kama wewe hauongelei rasilimali za nchi na namna bora ya kuzitumia kupata fedha nyingi basi naumiaga sana roho yangu, ...
Anyway rasirimali ni pamoja na
1. Ardhi yenye rutuba mito na maji
2. Maziwa na bahari
3. Misitu
4. Madini
5. Mbuga za wanyama
6. Gesi
Great mind wataongelea hivyo vitu kutengeneza uchumi imara na wa kudumu wa nchi yoyote ile duniani
ASANTE
😍Rais Samia kaingia madarakani watu wakiwa na matarajio ya mabadiliko makubwa. Lakini pia kuna mambo ambayo kwa makusudi au bahatio mbaya, Watanzania wengi waliaminishwa kwamba ni sahihi wakati yanatugharimu.
Mfano, Rais Samia liingia madarakani watu wakiwa wameaminishwa kwamba Corona imeondoka kupitia maombi, kwamba hatuhitaji chanjo kabisa.
Lakini pia tulifichwa kuhusu madhara ya kiuchumi yaliyoletwa na Corona au maamuzi ya Serikali yetu.
UWAZI NA UKWELI
-Huku kukiwa na kelele nyingi sana kutoka kwa wahafidhina, Rais Samia alitueleza ukweli kwamba Corona ipo, akachuku hatua kwa uwazi kabisa. Chanjo ikawekwa hadharani.
Matokeo yake ni kwamba nchi yetu sasa imepata imani zaidi kutoka wa wakezaji na watalii ambao wanafahamu kwamba tumechukua hatua hivyo hawaji kucheza pata potea.
-Lingine ni namna alivyotueleza kuhusu TOZO. Huko nyuma kulikuwa na maneno mengi ya kufunika kombe wakati uchumi wetu unaumia.
Tozo ililetwa katika uwazi, tukaambiwa kwa nini imewekwa na wapi inakwenda.
- Pia Rais Samia aliweka hadharani namna atakavyotumia fedha za mkopo takribana trilioni 1.2. Angeweza kukaa kimya lakini akafanya kila mtu ajue ili pia tuwe na nafasi ya kukosoa na kuhoji iwapo matumizi hayataenda vizuri.
RAIS SAMIA NI MKWWELI , Ni muwazi. Anasema ahata ule ukweli ambao unatuumiza na pengine utampa shida kutete kiti chake 2025.
Msema kweli mpenzi wa Mungu, Mungu hatamuacha Rais wetu.
Kama hujui hujui tu.Kuhusu Corona umeingia cha kike
Corona anapewa heshima ya milele bwana Magufuli
Huyu kasuku na muoga wa ubeberu wa wazungu ndio unasema ni msema kweli?Rais Samia kaingia madarakani watu wakiwa na matarajio ya mabadiliko makubwa. Lakini pia kuna mambo ambayo kwa makusudi au bahatio mbaya, Watanzania wengi waliaminishwa kwamba ni sahihi wakati yanatugharimu.