Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,341
- 144,831
I'm a hustla baby[emoji631] [emoji631] [emoji631]boksi vipi mkuu???umekua lemutuz?
You're more than welcome.Wow fantastic mi nitakuja tu kwaajili yako ili nikuonee kwahiyo niandalie chumba changu special
I'm a hustla baby[emoji631] [emoji631] [emoji631]
I kill it everywhere....be it Ikungu...Dar...good 'ol USA....wherever.
I know no boundaries.
Thank you, kindly.Hongera
Karibu sana Shualina.hongera Ngabu tukibahatika kufika huko tutakujapo kulala na kukuona
Karibu saana Mavipunda.Wiki ijayo nitakuwa hapo
Karibu saaana Kunguni.Aseeee ukweni kwangu n Maswa apo mzew Ngabu so ntajiyahod nifike hapo npumzike na dadako angalu siku 2 au 3 si unajuwa mkoani kwetu apo!!!
Shukrani sana AZ.....Nimependa sana hilo jina la Kibantu la Guest House
Nikija Bariadi nitafanya kila niwezalo ilimradi nitie hii miguu yangu mahala hapo.
Shukraan,Shukrani sana AZ.....
Ukija utanikuta hata mwenyewe hapo...
sijawahi kabisa ata sijui lini nitafikaKaribu sana Shualina.
Hivi pande hizi za Simiyu ushawahi fika?