Uwanja wa Taifa: Azam FC 1 vs 3 Simba SC

NAOMBENI KUJUA MSIMAMO ULIVYO HADI LEO
Karibu mkuu
Screenshot_20190222-100913.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hili uliloandika Mtani ama kweli hawajakosea walio sema mpira wa Tanzania hauwezi endelea.

Hivyo mnajipigia tu leo. Duuh
Hahaha mtani mmetufanyia fitna na figisu figisu nyingi sana kwa miaka 4 mfululizo iliyopita, kutesa kwa zamu, Toto alishuka daraja ili kukulizisha wewe tu ili uchukue ubingwa."kutesa kwa zamu mtani"
 
Hahaha mtani mmetufanyia fitna na figisu figisu nyingi sana kwa miaka 4 mfululizo iliyopita, kutesa kwa zamu, Toto alishuka daraja ili kukulizisha wewe tu ili uchukue ubingwa."kutesa kwa zamu mtani"
Kwa hali hii niseme tu zile KHAMSA KHAMSA ni halali kabisa.
 
Back
Top Bottom