Uwanja wa Taifa: Azam FC 1 vs 3 Simba SC

Hazard CFC

JF-Expert Member
Apr 7, 2015
15,252
2,000
TPL leo tunashuhudia kabumbu la kisasa kati ya Azam FC dhidi ya Simba SC uwanja wa Taifa muda wa saa kumi kamili jioni.

Mpira umemalizika uwanja wa taifa

Matokeo: FT AZAM FC 1-3 SIMBA SC

VIKOSI
Kikosi cha Azam FC kitakachoanza

1. Razaki Abalora
2. Nickolas Wadada
3. Bruce Kangwa
4. Yakubu Mohammed
5. Agrey Moris
6. Mudathir Yahya
7. Joseph Mahundi
8. Salum Abubakar
9. Obrey Chirwa
10. Tafadzwa Kutinyu
11. Ramadhan Singano

Kikosi cha akiba
1. Benedict
2. Mwantika
3. Mwasapili
4. Domayo
5. Atta
6. Ngoma
7. Lyanga

-----------
Kikosi cha Simba SC kitakachoanza

1. Manula
2. Coulibaly
3. Hussen
4. Bukaba
5. Wawa
6. Kotei
8. Chama
9. Bocco
10. Kagere
11. Okwi

Kikosi cha akiba
1.Munish
2.Mlipili
3.Yassin
4.Dilunga
5.Salamba
6.Juma
7Ibrahim

-----------
Goli dakika 4 - Kagere anafunga bao la kichwa

Goli Dakika 38 - Bocco anafunga kwa kichwa

Goli dakika 78 - Meddie Kagere anawafungia Simba

Goli dakika 81 - Frank Domayo anawapatia Azam la kufutia machozi
 

Pyaar

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
14,821
2,000
Huyu mmoja tu anawatoa jasho.
20190222_112454.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom