Ha ha ha! kama idea ni kuwaondoa machalii wa unga lelo wanautumia uwanja huo kupigia bwimbi na kuaanda nakos zao kwa maraia innocent sawa...! Lakini kufunga eti kwa ajili ya cdm ni ujinga wa mwisho huu! Ninavyofahamu mie NMC ungaltd inaendeshwa na kigogo mmoja (Nywele nyeupe) na mbali na hicho kiwanja unachokizungumzia inaviwanja vipo vengine viwili ambavyo wachina wamevifence kama site camp zao kwa ajili ya hii arusha roads construction, Kwa kuwa barabara inayopita katika viwanja hivyo pia itawekewa lami basi mie nahisi wakubwa tayari wanamkakati wa kuvipora viwanja hivyo na si vinginevyo