Uwanja wa nmc jijini arusha kufungwa ili kuidhibiti (chadema)

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,654
Kwa mujibu wa taarifa za vikao vya halmashauri ya jiji la arusha. Uwanja wa nmc utafungwa hiv karibuni ili kuidhibiti chadema mkoani arusha kwa kutokupata eneo maalum la kufanya mikutano.
 
Utafungwaje maana ni open space!! ebu fafanua watajenga ukuta?? Na NMC ni bado ni shirika la umma au idara mojawapo katika acc (arusha city cncl)
 
Utafungwaje maana ni open space!! ebu fafanua watajenga ukuta?? Na NMC ni bado ni shirika la umma au idara mojawapo katika acc (arusha city cncl)[UTAFUNGWA KWA KUWEKEWA FENCE AMBAYO ITAKUWA KISINGIZIO CHA KUTOINGIA NDANI YA UWANJA.
 
Ha ha ha! kama idea ni kuwaondoa machalii wa unga lelo wanautumia uwanja huo kupigia bwimbi na kuaanda nakos zao kwa maraia innocent sawa...! Lakini kufunga eti kwa ajili ya cdm ni ujinga wa mwisho huu! Ninavyofahamu mie NMC ungaltd inaendeshwa na kigogo mmoja (Nywele nyeupe) na mbali na hicho kiwanja unachokizungumzia inaviwanja vipo vengine viwili ambavyo wachina wamevifence kama site camp zao kwa ajili ya hii arusha roads construction, Kwa kuwa barabara inayopita katika viwanja hivyo pia itawekewa lami basi mie nahisi wakubwa tayari wanamkakati wa kuvipora viwanja hivyo na si vinginevyo
 
nanusa majibu ya hukumu ya lema!mark my words!

Duuh! mzee wa hisia... nimekusoma!! maana rufaa mpaka chande kaja mbele ni noma anaogopa kuibomoa heshima yake aliyoijenga kwa miaka 28 sasa tena kimataifa... lazima atawakatalia jamaa! yeye anajiangalia kimataifa zaidi... si nape anatizama mwisho wa pua yake.
 
No logic at all, kuna maeneo Mengine mengi tu, mwakasege anafanyia Wapi seminar Zake za uchumi na ujasiriamali?

Kwa mujibu wa taarifa za vikao vya halmashauri ya jiji la arusha. Uwanja wa nmc utafungwa hiv karibuni ili kuidhibiti chadema mkoani arusha kwa kutokupata eneo maalum la kufanya mikutano.
 
kama huo upango upo basi kuna tatizo kubwa ndani ya bongo zao na kamwe huo hauwezi kuwa mwarobaini wa kudhibiti mikutano ya magwanda arusha
 
huwezi kujikinga mvua kwa kutumia chandarua, mikutano itafanyika porini na watu watakwenda bila hata kuwakodia malori
 
Daaahhh, Mkuu umeona mbali!!!!!!!!!!!!!!

Nimekusoma; kwa mtaji w maandalizi kama haya na ile nyingine ya Jaji Kiongozi naye kujiingiza kwenye benchi, dalili zote ni kwamba HUKUMU YA LEMA tayari imeshachapishwa tayari inasubiri tu kuja kuteremshwa kama ambavyo mungu mdogo duniani, Rais Kikwete, alivyotaka iwe.

M4C, BAWACHA pamoja BAVICHA, tafadhali elimu ya Uraia ielekee A-Tauni na vitongoji vyake vyote kwa sasa.

Mkuu Nanyaro Ephata yu WAPI pamoja na Machalii wetu wa A-Tauni, Mererani, Tarime na Mbeya ????????????????


nanusa majibu ya hukumu ya lema!mark my words!
 
Ni kweli leo nilipita maeneo hayo nikakuta vijana wako busy wanachimba mashimo.....labda ndio ya kuweka huo uzio


Ila bado sio dawa!
 
Kwa akili yao fupi wanadhani wanaweza kuweka kuta ktk mioyo na akili za watu, wasiione CHADEMA au nuru ya ukombozi wao.

Tell the foxes; Damages has already been done. We gallantly now marching toward that finishing line!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom