Uwanja wa Benjamin Mkapa | Simba Super Cup, Simba SC Vs Al Hilal Club

20210127_19085318466.jpg
 
Ni sisi mashabiki wa Simba ndo tunanufaika kupata burudani kama hivi..
Wewe utopolo endelea kupiga Ramli chonganishi
hahaha mbumbumbu huwa mnadanganywa kidogo sana jamaa wamefika jana na uchovu badala mfikirie kupanga timu mnakimbilia kufunga wakat mchezo wa bonanza
 
utopolo huna hadhi ya kubishana na sisi,we uko nafasi ya ngapi CAF? kabishane na kina KMC labda.
ulaya wangekuwa na mawazo kama haya ya kujisifia nafasi sidhani kama liva angekuwa anapigwa na bunley alafu anabaki jisifia nna uefa 4 epl 19

we nimekupiga mara kibao hata ukiwa namba 1 fifa haiondo ukweli kwangu unabaki paka tu
 
Nakutumia vocha DM uunge bando la net kisha uingie kwanye Simba oficial page ukaumie roho vizuri.
Yanga ni vibonde na msaada tunawapa tu,kwani bei gani!!
yanga vibonde kwa takwimu zipi? nimekutwanga mara kibao pindi tukutanapo vpl naongoza we umenizidi ushindi wa bonanza la leo tu
 
ulaya wangekuwa na mawazo kama haya ya kujisifia nafasi sidhani kama liva angekuwa anapigwa na bunley alafu anabaki jisifia nna uefa 4 epl 19

we nimekupiga mara kibao hata ukiwa namba 1 fifa haiondo ukweli kwangu unabaki paka tu
ulaya umeingiaje hapa,jibu swali mko nafasi ya ngapi CAF. mara ya mwisho kuchukua kombe VPL na FA ilikuwa lini?
 
Back
Top Bottom