Usiporekebisha tangazo lako sidhani kama kuna MTU atakupigia
Ni vizuri ueleze
Ukubwa wa kiwanja
Kina hati au hakina
Bei n k bila hivyo tangazo lako limekaa kitapel maana umeandika kama unakimbizwa vile
We mwenyewe ukirudia ulichokiandika hapo lazima ucheke maana hakieleweki mkuui