mwambie dogo aache kutuzingua
Anafanya promo anastahili vikwenzi,tatizo si riziki
Mkuu fanya maendeleo yako binafsi kwanza, ukipata kiajira anza kutimiza zile ndoto zako ulizokuwa kuwa pindi unasoma, au ukiwa mtoto, mademu wapo tu...
Mwalimu mkuu mamaako?
Wape hai mkoani huko! Saahizi siujui unachunga mbuzi?
Hatuzungumzia ufala, tunazungumzia ukwasi,maadam anatowa hela sexual needs ni bidhaa ya mitaani tu.Basi nahisi umesahau kitu cha msingi na tofauti iliyopo kati ya mwanamke na mwanaume.
Kuwa na mapesa then ushindwe kutiza sexual needs za mwanamke, huone watakavyo kudharau twice ukiwa broke.
Kitambo nilidhani ubaya wa
sura yangu ndio chanzo cha kutoswa na watoto wazuri! Kumbe hapana, ni
pessa tu nilikua sina.
Lakini tangu nianze kaajira kangu, mbona madem nishasahu kutongoza?
Zakia alishawahi niambia sina mvuto kisa tu nashinda na CHAMPOGO,
lakini sasahivi yeye ndie amekua kero kwangu,
hata jina kani badili ananiita MZUNGU.
Amakweli kiume fedha kudinda ugonjwa.