Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,084
- 12,329
Kitambo nilidhani ubaya wa sura yangu ndio chanzo cha kutoswa na watoto wazuri! Kumbe hapana, ni pessa tu nilikua sina.
Lakini tangu nianze kaajira kangu, mbona madem nishasahu kutongoza? Zakia alishawahi niambia sina mvuto kisa tu nashinda na CHAMPOGO, lakini sasahivi yeye ndie amekua kero kwangu,
hata jina kani badili ananiita MZUNGU.
Amakweli kiume fedha kudinda ugonjwa.