siamin mimi kuweka tangazo la biashara nauza line ya uwakala wa tigo pesa naambiwa ------ kweli sijui umewaza nini ila kwa kuwa sikufahamu nimekusamehe maana siijui tabia yako. hiyo namba ni ya simu yangu ya mkononi kuwa mpole usipende kutukana toa comment kama una mteja ni vizuri zaidi.