Uwakala M-pesa, Tigopesa

Uwakala M-pesa, Tigopesa

topr

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
700
Reaction score
654
Jamani naitaji kuwa wakala mpesa tigo pesa naomba maelezo yenu jinsi yakupata no
 
Kwani mkuu mtaani kwenu hujawahi kuona mawakala ukawauliza mbona huku mbali sn
 
Jamani naitaji kuwa wakala mpesa tigo pesa naomba maelezo yenu jinsi yakupata no
kwa sasa namba za uwakala hawatoi tena cha kufanya tafuta mtu ambaye ameshindwa kufanya biashara hiyo akuuzie namba hizo.Ila lazima uwe na TIN NUMBER na LESENI YA BIASHARA.Kama namba ya tigo pesa ndio iko bei mbaya c chini ya laki 5!!!na biashara yenyewe hiyo kwa sasa ni pasua kichwa kweli,kwani wana bana sana kwenye kamisheni.
 
Nashukuru Sana kwa mchango wenu
 
Leseni na tin no ninavyo vyote
 
kAKA BIASHARA YA TIGO PESA NI PASUA KICHWA SANA LABDA UKIWA NA MTAJI MKUBWA NA SEHEMU ULIYOFUNGULIA KUNA MAWAKAWA UCHWALA UNAWEZA FANYA BIASHARA
 
Kwanini ni Pasua kichwa? Ugumu upo wapi hasa?
Faida ikoje?
Vipi kuhusu M-Pesa na Airtel money? Kuna changamoto gani hasa katika biashara za uwakala?
 
kwa sasa namba za uwakala hawatoi tena cha kufanya tafuta mtu ambaye ameshindwa kufanya biashara hiyo akuuzie namba hizo.Ila lazima uwe na TIN NUMBER na LESENI YA BIASHARA.Kama namba ya tigo pesa ndio iko bei mbaya c chini ya laki 5!!!na biashara yenyewe hiyo kwa sasa ni pasua kichwa kweli,kwani wana bana sana kwenye kamisheni.
Kwanini Tigo hawatoi tena namba za uwakala? Kwanini Line ya Tigo-Pesa iwe ghali zaidi? Kwani line ya M-Pesa na Airtel Money inauzwa kiasi gani?
Kamisheni za Tigo-Pesa ni kiasi gani na makampuni mengine ikoje pia?
 
kamisheni zinategemea na mzunguko wa biashara yako,kadiri utakavyo fanya mihamala mingi,ndivyo utakavyopata kamishen kubwa,mzunguko ukiwa mdogo,kamishen na yenyewe itapungua
 
Kamisheni za tigo ni kubwa inategemea na eneo unalofanyia biashara,kama mzunguko ni mkubwa unapata commission kubwa.mimi ninazo line zote yan tigo.mpesa na airtel kama unashida nayo nikuuzie.
 
Mteja akitoa 10,000/= tigo unapata commision bei gani? Je kuanzia laki5 and above kamisheni ikoje kwa tigo?
 
Jamani naitaji kuwa wakala mpesa tigo pesa naomba maelezo yenu jinsi yakupata no

Mkuu kama imeshanunuliwa njoo nikuuzie yangu laki 3.5 tu na kitabu chake, ni pm au 0767-074040 u can check on me.
 
Back
Top Bottom