Uvuvi kwa kutumia boti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uvuvi kwa kutumia boti

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by CLEMENCY, Aug 27, 2011.

 1. C

  CLEMENCY JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 211
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wakuu, ninataka kufanya biashara ya uvuvi baharini kwa kutumia boti. Nauliza mwenye ujuzi na hii biashara anijuze kuhusu aina za boti zinazotakiwa,ukubwa wa injini,kama petroli au dizeli ndiyo inafaa. Natanguliza shukurani zangu
   
 2. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Jiandae kwenda kwa waganga wa kienyeji kuongeza charge kama huna. Waulize wapemba
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  heee! Ndio nini hayo?
   
 4. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  anamaanisha jamaa aende kwa mganga ili apewe hirizi ya biashara!
   
 5. SIMBA mtoto

  SIMBA mtoto JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 208
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ni biashara nzuri, inayolipa sana ukiwa na vifaa bora na wafanyakazi wazoefu.
   
 6. C

  CLEMENCY JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 211
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mkuu,una mtu unayemfahamu ukanipacontact yake?
   
 7. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ni biashara ngumu sana ambayo inahitaji wewe mwenyewe uwe na uzoefu nayo otherwise uwe na mtu mwaminifu sana aisimamie. Unataka kuvua wapi? kama baharini je ni uvuvi wa maeneo ya pwani au mbali na bahari? na pia unataka kuvua uvuvi wa aina gani yaani samaki gani.. kuna uvuvi wa dagaa (utahitaji boti kubwa kidogo yenye injini ya ndani na nyavu za purse seine), uvuvi wa nguru na papa kwa kutumia mishipi au kwa kutumia nyavu za jarife n.k.

  Kama nilivyosea sio tu kununua boti na injini bali pia kujua unaenda kuvua nini na wapi ndio itakusaidia kujua aina gani ya nyavu, boti na injini ya kufunga. Kama ni mgeni kabisa unahitaji watu wazoefu mno na waaminifu wakuelekeze vinginevyo unaweza ingizwa mjini.
   
 8. C

  CLEMENCY JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 211
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Shukrani mkuu!
   
 9. K

  Koba ali New Member

  #9
  Jul 11, 2017
  Joined: Jul 2, 2017
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  20170627_084902.jpg Mimi niko huku Dar nahuza ma boti ya meter 8.9 za aina ya fiber kwa beyi hagifu sana
   
 10. p

  pelemba Member

  #10
  Jul 11, 2017
  Joined: Jul 12, 2015
  Messages: 27
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  Hiyo fiberglass boat ni bei gani ya mita 8 na 9

  Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
   
Loading...