Uvutaji sigara

Uvutaji sigara

Angina

Senior Member
Joined
May 13, 2018
Posts
142
Reaction score
138
Kwa kipindi cha karibuni sjajua huenda in dar es salaam lkn nahisi itakuwa Tanzania nzma swala la uvutaji sigara lmekua too much .Alaf mbaya wavutaji hata aibu hawana unaweza kuta yupo kwenye mikusanyiko ya watu anavuta sigara tu bila hata kujari

Na kwa kiwango kikubwa vjana ndo wanaongoza kuvuta aisee unakuta kavulana kana miaka 13 14 lkn nako kanavuta yaana imekua fashion sasa.

Kiafya uvutaji wa sigara ni moja ya sababu kubwa ya kupata cancer ya mapafu na uvutaji wa sigara unaweza kuwa direct au indirect.nksema direct namaanisha anavuta lkn nksema indirect ni yule mtu ambae yupo jran na mvutaj wa sigara yaan yy anavuta ule moshi wa sigara wakat wa kupumua ijapokuwa havuti sigara.

Naona ni wakat sahihi wa serikali kuanzia vituo maalum pembezoni mwa ma barabara,kwenye mikusanyiko ya watu mfano sokoni ili wavutaji wanapovuta sigara moshi usiwaathir ambao hawavuti sigara.
 
Hv siku ya kwanza mtu kuvuta nini kinakua kimemvutia? Ni hisia gani mtu anapata mpaka kuamua kuvuta
 
Shida ni serikali,

Ingepiga marufuku uvutaji wa sigara kwenye halaiki ya watu watoto wengi wasingejifunza uvutaji!
 
Hata watu binafsi sio serikali tu.. si kama gest za watu binafsi si zipo.. serikali ipitishe sheria ya kuzuia na kushauri then watu binafsi watengeneze sehemu maalumu ya kujipatia huduma.. kwa malipo elekezi
 
Hv siku ya kwanza mtu kuvuta nini kinakua kimemvutia? Ni hisia gani mtu anapata mpaka kuamua kuvuta
Hivi nawe ulianzaje kupiga kende siku ya kwanza bobuu? Maana haya maswali tujiulize kotekote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom