Uvutaji sigara in public place

actus

Senior Member
Oct 7, 2011
104
0
Aisee wadau leo nimeaply hii sheria inayokataza kuvuta sigara in public place kwa njemba mmoja.kama mlikua hamjui kuna sheria THE TOBACCO PRODUCT (REGULATION) ACT NO. 2, 2003 inayokataza kuvuta sigara in public place.defition ya public place imetolewa maana yake kwenye hiyo sheria.
kulifikisha polisi kumbe nao hawa wenye vyeti feki (polisi)wanaijua sheria hiyo faini yake ni laki tano(500,000)au gerezani miezi 9.sasa sijui kama limelipa au ndo yale yale ila nimeliacha rubango.
jamani una uhuru na haki ya kumkamata mtu unayevunja sheria haiwezekani uko kwenye mkusanyiko wa watu mfano hotel,hospital,public transport n.k lijitu linaanza kusmoke kwa raha zake.wakati ametengewa sehemu ya kuvuta sigara.
 
May 29, 2012
89
0
Unafiki mtupu! Kugombana na wavuta sigara huku wakulima wa tumbaku wakihamasishwa kulima zao hilo ni nini? Ni moja kati ya sheria za nchi ambayo ni wachache wanajua kama ipo
 

actus

Senior Member
Oct 7, 2011
104
0
Unafiki mtupu! Kugombana na wavuta sigara huku wakulima wa tumbaku wakihamasishwa kulima zao hilo ni nini? Ni moja kati ya sheria za nchi ambayo ni wachache wanajua kama ipo

mkuu elewa sheria hiyo inavyosema ni kwamba haikatazi kulima zao hilo la tumbaku ila end product yake ambayo inaweza kua mfano sigara isivutwe kwenye public place.na hapo suala sio kugombana ni kuwaelimisha watu waelewe waendelee kuvuta lakini sio kukera wengine.
 

Oluoch

Senior Member
Aug 30, 2010
134
170
Nadhani utekelezaji wa sheria hiyo haujazingatiwa. Ni muda mwafaka wa serikali kupitia vyomo vyake vya msukumo wa kisheria(law enforcement Organs) kama vile polisi kutilia mkazo suala hili. Pia elimu ya sheria hii itolewe kwa wanajamii waitambue maana ni watanzania wengi wasioijua.
 

ADK

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
1,968
2,000
Nafikiri swala la msingi ni kuwaelimisha wananchi juu ya sheria hii ambayo wavutaji wengi wa sigara gawaijui.lkn kuhusu kulima tumbaku tuendelee huku tukielimishana madhara yake kiafya,maana tumbaku inatupatia fedha za kigeni
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom