Public smoking is banned in kenya - Marufuku ya kuvuta sigara Kenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Public smoking is banned in kenya - Marufuku ya kuvuta sigara Kenya

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Nyaralego, Oct 11, 2008.

 1. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2008
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  PUBLIC SMOKING IS BANNED IN KENYA

  Mother tongue interference at its best.

  After public smoking was banned in most Kenyan towns, the
  town clerks were obviously assigned the duty of posting notices in to that
  effect.  The Coast :
  Uvutaji wa sigara umpigwa marufuku kuanzia
  leo.Watakaopatikana wakikiuka
  amri hii wataadhibiwa kwa mujibu wa sheria za baraza. Nyote
  zingatieni.


  Kiambu Town: Kikuyuni
  Wakunyuanji wa thigara washuge thaana. Unyuanji wa thigara
  bere ya watu hata
  huko ije umefigwa malufuku na kaju kuanjia reo.Mutu
  makipathikana na
  mochi,ni bere tu.


  Machakos Town: Kwa Wakamba
  Wavulutai wa tsikala watsunge tsana. Tsasa kuvuluta tsikala ni maluvuku na
  kanzu ya Matsaaku itawatsukulia atua kuvwa
  tsaidi.Ukimbatikana na mbaki au
  muthokoto uyue ni mbita apo apo.


  Nairobi:
  Toka leo fegi zimededishwa area.Usituletee. Wacha ushoste.
  Usipatikane hata
  na lare ndani ya ndai,bure mkono zitatembea,manze.

  Kisumu: Wajaluo
  Atenson,plis!!! Mifuto sgara adharani sasa omepigwa
  marofuku.
  Okipaatwa,ibiro yie Kodiaga,whether huyo sgara
  omesatairiswa or msokoto!
  Apana furuta plis!!

  Wajir Town: Wasomali
  Habana iko buruta sigara bahali yoyote haba. Yeye
  lishapigwa marufuk na sisi
  tagaamata mutu bhahala yaghe kiburuta,hofyo hofyo.Gama
  nabatigana wowo yugo
  nagamatana na moshi,ndani yage mara mocha.  Kericho: Kalenji
  Gutoga leo gugunywa na gufuruta sigara
  sisi nagshagataasa. Haguna! Charipu wee taona ile gitu
  litoa nyoga bangoni!

  Bungoma: Kwa Waluyha
  Mundu yoyote akikunywa kunaka au raba,mbele ya majo ya
  wanainji,achue
  adabepa musalapa wake hunyo hunyo.Si hocha uwe munjuni au
  paraparani,hakuna
  kwitukha kwisi hatarani.


  Other town clerks are still working on their respective
  notices.
   
 2. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2017
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Hii huwa naisoma kimya kimya, leo nmeamua niache nyayo zangu hapa.
   
Loading...