Uvunjwaji wa katiba umezoeleka Tanzania, tusishangae siku mkisikia urais ni miaka 7

Chifyono

JF-Expert Member
Oct 16, 2017
921
1,658
Wakuu hapa Tanzania kwa sasa imezoeleka kabisa kwamba issue ya uvnjwaji wa katiba ya jamhuri ya muungano ni swala la kawaida na wananchi hawana uwezo wa kuamua na kufanya lolote mladi tu kulinda katiba

Kama watanzania wameshindwa kuchukua hatua dhidi ya uvunjwaji wa katiba unaofanywa na serikali hii dhalimu hawataweza kuja kuchukua hatua dhidi ya mamlaka ya rais ikikubali msimu mmoja usogezwe mpaka miaka 7
watanzania wamelala sana, katiba ni yenu wananchi aamkeni
 
Mleta mada kwa hiyo unataka spika awe anapokea barua zilizoandikwa mbunge kafutwa uanachama kwa kosa la kuhudhuria vikao vya bunge? Mbunge kuhudhuria vikao vya bunge Ni kosa?
 
Mleta mada kwa hiyo unataka spika awe anapokea barua zilizoandikwa mbunge kafutwa uanachama kwa kosa la kuhudhuria vikao vya bunge? Mbunge kuhudhuria vikao vya bunge Ni kosa?
Hapo ndio Chadema hunishangaza mambo yao kufanya kinyume kinyume.
Wananchi wamechagua wabunge ili wakawakilishe bungeni hao wanataka kufanya kazi ya kususia bunge kila mara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom