Uvumilivu una kikomo chake

Nchi inajengwa katika misingi ya usawa na haki.foundation imara kabisa katika nchi ni haki usawa na maelewano.Mwl nyerere alijitahidi sana kujenga taifa moja lenye usawa na haki.tunapaswa katika kikazi hiki kuundeleza misingi hiyo ili kikazi hiki kitakapopita basi watoto wetu wataendeleza misingi hiyo na kuimarisha zaidi.
 
No bloodshed,No real freedom.Historia ni mwalimu mzuri.Anzia Marekani kupitia Civil War,French Revolution,Ant-Apartheid struggles n.k hakuna haki iliyopatikana on Silver plate.
 
Lazima damu imwagike ili kuwe na haki huo ndio ukweli
 
Anza basi kujitoa sadaka wewe kwanza uwe mfano
 
Mwanahabari huru wa HOVYO kabisa kutokea hapa duniani!
Kwa taarifa yako tu CCM NI CHAMA TAWALA na kama HUTAKI ama HAMA NCHI au KUFA!
analalamika tu jf na nyuma ya keyboard, kwa nini basi asiende kupambana tumuone, kuliko kulia lia hapa muda wote na nyuzi hizo hizo, hivi mwana habar huru ni yule anayeongelea mambo ya upande mmoja tu, kwa nini asijiite mwanachadema huru..
 
Nimekuelewa aisee jamaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…