Rafiki yangu, mwanahabari huru tuache jazba turudie akili yetu na tutafakari pia.Kama nilivyosema jana jioni; Uvumilivu siku zote huwa una kikomo chake. Hatuwezi tena kuendelea kujificha kwenye kivuli cha kile kinachoitwa amani ni tunda la roho wakati roho zetu zikiwa na huzuni kila tuamkapo.
Wale wanaoitangaza hii Amani; ukiwatazama kwenye kwapa zao, wameficha Visu na Mapanga. Nchi gani hii ya kidemokrasia.
Ninachoweza kusema; hata hiyo Demokrasia ya Kenya, Uhuru wa Bunge lake na Mahakama ama ule wa Vyombo vya habari uliopo Kenya hivi sasa; haukupatikana kwenye sahani kama kipande cha Mkate. Kuna watu wali-sacrifice maisha yao kwa ajili ya watoto na wajukuu wao, leo hii Wakenya wanaishi raha mstarehe.
Ikumbukwe kuwa; Wakenya walichoshwa na udharimu uliokuwa unafanywa na KANU enzi zile na wakaamua kwa gharama yoyote ile kuidai Katiba Mpya iliyowasaidia kuundwa kwa Tume huru ya Uchaguzi hatimaye dhamira yao ya kuing'oa KANU ikatimia.
Muda na wakati wa kuonyeshana meno na CCM na Watu wake haupo tena; hawa walishadhamiria kung'ang'ania madaraka na hawatakuwa tayari kuona wanawekwa benchi kwa hii kitu inaitwa Uchaguzi.
Sisi tufanye siasa kupitia haya majukwaa ya chaguzi ndogo; lakini tutambue kwamba, dhamira ya CCM ni dhamira hasi iliyojaa uovu ndani yake.
Uko sahihi mkuu.Hawa CHADEMA sidhani kama huwa wanajifunza kitu.Kauli aliyoitoa mtukufu kwa wakurugenzi wake kwamba "nimekuteuwa,nakulipa mshahara halafu mtangaze mpinzani mshindi" ilitosha wao kumshinikiza mtukufu ama atenguwe kauli yake au wapambane kudai si Tume Huru ya Uchaguzi pekee bali Katiba bora(Katiba ya Warioba) kabla hata ya kuingia kwenye chaguzi nyingine.Hakuna mkurugenzi ambaye atakuwa tayari kupoteza nafasi yake.Hii tabia ya kuingia kwenye chaguzi za kihuni hali wakijuwa hatma yao ati tu kwa sababu ulimwengu uone madudu ya watawala haitawasaidia.Katika moja ya hotuba yake katika kampeni ya uchaguzi zilizoisha jana Lowassa alimuasa Mbowe kwamba katika vikao vyao sasa wazungumzie Katiba mpya.NIKASHANGAA.Kama kwenye vikao vyao Katiba siyo agenda KUU,wanajadili nini kwa ajili ya ustawi wa demokrasia na utawala wa sheria?.Utakua ni UPUMBAVU uliozidi kipimo kama upinzani utaingia kwenye chaguzi yoyote ile chini ya Tume ya Uchaguzi inayoteuliwa na Rais Mr. Stone. Narudia tena utakua ni UPUMBAVU usio na mfano.
Analialia tu jukwaani, hana uwezo wa kuhoji yanayoendelea kwenye chama chake.Mwanahabari huru wa HOVYO kabisa kutokea hapa duniani!
Kwa taarifa yako tu CCM NI CHAMA TAWALA na kama HUTAKI ama HAMA NCHI au KUFA!
mikutano ya kampeni mnafanya, mnajinadi vizuri tu kama ccm wanavyofanya,
kura zinapigwa, mkishindwa kelele weeee mpaka mnaboa.
Nyuma ya keyboard mko vizuri mno yaani.
Mkuu nilikuwa namshangaa huyu Mwanahabari Huru ambaye hajui kitu kidogo kama hicho tena cha hivi karibuni na kwa jirani zetu! Kuna mkuu mmoja amesema huyu mwanahabari huru hovyo, mimi sitaki kurudia lakini kwa uandishi huu hakwepi kuwa wa hovyo.Hii paragraph yako imenichekesha sana, ''
''Ikumbukwe kuwa; Wakenya walichoshwa na udharimu uliokuwa unafanywa na KANU enzi zile na wakaamua kwa gharama yoyote ile kuidai Katiba Mpya iliyowasaidia kuundwa kwa Tume huru ya Uchaguzi hatimaye dhamira yao ya kuing'oa KANU ikatimia''.
Tatizo la copy&paste kutoka kwenye mitandao na kuleta Jamiiforums.
KANU haikuondolewa madarakani kwa sababu ya katiba mpya.
Kwa kukusaidia naomba utambue kuwa KANU iliondolewa madarakani Desemba 2002 wakati katiba ya Kenya iliundwa mwaka 2010.
Jielimishe kwanza kabla ya kuleta uharo hapa Jamiiforums!
Kwani vuguvugu la katiba mpya Kenya lilianza lini? Na lilihitimishwa lini?Hii paragraph yako imenichekesha sana, ''
''Ikumbukwe kuwa; Wakenya walichoshwa na udharimu uliokuwa unafanywa na KANU enzi zile na wakaamua kwa gharama yoyote ile kuidai Katiba Mpya iliyowasaidia kuundwa kwa Tume huru ya Uchaguzi hatimaye dhamira yao ya kuing'oa KANU ikatimia''.
Tatizo la copy&paste kutoka kwenye mitandao na kuleta Jamiiforums.
KANU haikuondolewa madarakani kwa sababu ya katiba mpya.
Kwa kukusaidia naomba utambue kuwa KANU iliondolewa madarakani Desemba 2002 wakati katiba ya Kenya iliundwa mwaka 2010.
Jielimishe kwanza kabla ya kuleta uharo hapa Jamiiforums!
Ukipata jibu unitaqKwani vuguvugu la katiba mpya Kenya lilianza lini? Na lilihitimishwa lini?
Utaambulia matusi mwanzo mwishoMwanahabari huru wa HOVYO kabisa kutokea hapa duniani!
Kwa taarifa yako tu CCM NI CHAMA TAWALA na kama HUTAKI ama HAMA NCHI au KUFA!
Kwa kweli uvumilivu huwa una kikomo.....kwa ili bado tutavumilia Sana. Wacha CCM watawale mpka Akili zetu zitakapokuwa sawa.Kama nilivyosema jana jioni; Uvumilivu siku zote huwa una kikomo chake. Hatuwezi tena kuendelea kujificha kwenye kivuli cha kile kinachoitwa amani ni tunda la roho wakati roho zetu zikiwa na huzuni kila tuamkapo.
Wale wanaoitangaza hii Amani; ukiwatazama kwenye kwapa zao, wameficha Visu na Mapanga. Nchi gani hii ya kidemokrasia.
Ninachoweza kusema; hata hiyo Demokrasia ya Kenya, Uhuru wa Bunge lake na Mahakama ama ule wa Vyombo vya habari uliopo Kenya hivi sasa; haukupatikana kwenye sahani kama kipande cha Mkate. Kuna watu wali-sacrifice maisha yao kwa ajili ya watoto na wajukuu wao, leo hii Wakenya wanaishi raha mstarehe.
Ikumbukwe kuwa; Wakenya walichoshwa na udharimu uliokuwa unafanywa na KANU enzi zile na wakaamua kwa gharama yoyote ile kuidai Katiba Mpya iliyowasaidia kuundwa kwa Tume huru ya Uchaguzi hatimaye dhamira yao ya kuing'oa KANU ikatimia.
Muda na wakati wa kuonyeshana meno na CCM na Watu wake haupo tena; hawa walishadhamiria kung'ang'ania madaraka na hawatakuwa tayari kuona wanawekwa benchi kwa hii kitu inaitwa Uchaguzi.
Sisi tufanye siasa kupitia haya majukwaa ya chaguzi ndogo; lakini tutambue kwamba, dhamira ya CCM ni dhamira hasi iliyojaa uovu ndani yake.
Inabidi vyama viwe na falsafa zinazoeleweka, viwe taasisi zenye utawala na uongozi unaojali maono badala ya kuwa kama kampuni za watu binafsi. Haiwezekani chama kinakuwa na mwenyekiti huyo huyo miaka nenda rudi pasipo na chaguzi zinazoeleweka halafu kila siku unaishia kulaumu kunyanyaswa na chama tawalaRafiki yangu, mwanahabari huru tuache jazba turudie akili yetu na tutafakari pia.
CCM siyo wajinga, eti chadema wapewe uhuru na kuitukana na kudhalilisha chama tawala kizembe kiasi hicho.
Hivi kwa akili tu ya kawaida mnategemea Mh. Mbowe huyuhuyu ninayemfahamu ongoze chadema kufanya maoinduzi/mageuzi kuiondoa CCM?? Hizi ndoto za mchana tena mkiwa post mpya saa 8 za mchana.
Mbowe sina uhakika kama anajua ata theory walau moja ya kimapinduzi/mageuzi duniani. Msifanye siasa ni nyepesi kuasi kile imani yenu juu ya Mbowe porojo za majukwaani ndipo mnamuona anaweza ila mkae mkijua strategically he is too poor. Chadema ilikiwa dr. Slaa wala si mtu mwingine kitendo cha kuwapoteza watu kama akina ZITTO, KITILA, dr. SLAA ilikuwa pigo sana wengi hamukuona.
Hamuwezi kuifanya elimu kitu kisicho hitajika kiasi hiki mpk mfikirie Mbowe aongoze taasisi inayotaka kupora/kipokea madaraka kwa CCM kwanza fikirieni CDM siyo tu kiuongozi iko vibaya bali ata kitaasisi iko hoi kuliko mnavyojiaminisha. Politics is several miles apart from political rallies lazima ihusishe ujasus, ujengaji wa taasisi na uchumi kwa chama.
Mikakati ya Mbowe sawa na kubeti tatu Mzuka tu, ni ujinga na kukosa maono ukiangalia hali ya kisiasa ya chadema na kushindwa kutumia fursa ya wasomi hasa vijana, kwa zaidi ya miaka 10 kuna vijana wengi wasomi walitakiwa kutumika kujijenga na kujiimairisha mwishowe CCM wamestuka na kuziba mianya yote mnabakia kupiga kelele tu.
Wengi sasa hivi mnafikiri zaidi kutia nguvu zaidi ya akili, ni kweli kwa kiasi fulani rafu zipo na ni kawaida kwa mtu aliyeshika madaraka hasa Africa lakini je, hiyo ndiyo ibaki sababu tosha ya kwanini chadema inashindwa si kweli kabisa.
Mwisho, CHADEMA hasa Mbowe atambue hawa wanao hama si kweli kwamba wanahongwa na kuhaidiwa vyeo, waweza kubisha kwasababu tu umeona waliohama wamepewa ila ni kwasababu wengi wao ni watu makini waliona hakuna future chadema na kwa ccm ni lulu maana walikuwa wameishiwa vijana wenye maono. Mh. Rais JPM anakili kuwa amewanyanganya silaha upinzani lazima awatungue nazo.
Ni hayo tu kwa leo.
Tena kwa kuongezea hapo. Vurugu zilitokea baada ya uchaguzi 2007 baada ya kuapishwa Mwai Kibaki awamu ya pili. Hivyo vurugu za Kenya ni zao la upinzani si KANU.Hii paragraph yako imenichekesha sana, ''
''Ikumbukwe kuwa; Wakenya walichoshwa na udharimu uliokuwa unafanywa na KANU enzi zile na wakaamua kwa gharama yoyote ile kuidai Katiba Mpya iliyowasaidia kuundwa kwa Tume huru ya Uchaguzi hatimaye dhamira yao ya kuing'oa KANU ikatimia''.
Tatizo la copy&paste kutoka kwenye mitandao na kuleta Jamiiforums.
KANU haikuondolewa madarakani kwa sababu ya katiba mpya.
Kwa kukusaidia naomba utambue kuwa KANU iliondolewa madarakani Desemba 2002 wakati katiba ya Kenya iliundwa mwaka 2010.
Jielimishe kwanza kabla ya kuleta uharo hapa Jamiiforums!
lenyewe litaishi milele.[emoji23] [emoji23] mmh hapo kwenye kufa sasa!
nchi yenyewe haijelewi vipi chama kijielewe,watanzania kwa umoja wetu ni mbuzi sisi.Inabidi vyama viwe na falsafa zinazoeleweka, viwe taasisi zenye utawala na uongozi unaojali maono badala ya kuwa kama kampuni za watu binafsi. Haiwezekani chama kinakuwa na mwenyekiti huyo huyo miaka nenda rudi pasipo na chaguzi zinazoeleweka halafu kila siku unaishia kulaumu kunyanyaswa na chama tawala
Dhamira yako inakushuhudia kwamba upinzani wanashindwa kwa haki?mikutano ya kampeni mnafanya, mnajinadi vizuri tu kama ccm wanavyofanya,
kura zinapigwa, mkishindwa kelele weeee mpaka mnaboa.
Nyuma ya keyboard mko vizuri mno yaani.
Siku zenu zinahesabika mno !Mwanahabari huru wa HOVYO kabisa kutokea hapa duniani!
Kwa taarifa yako tu CCM NI CHAMA TAWALA na kama HUTAKI ama HAMA NCHI au KUFA!