Uvumilivu ninao ilaaa...

Watu hawajawahi kufanana, na hawatakuja kufanana mitazamo...

Ukitaka kuishi vizuri, basi zingatia hilo
Ni kweli, ndio maana tunaendelea kurekebishana, walau mitazamo yetu ifike pahali tukaishi kwa kufikiriana pia. Isiwe mtizamo ya kumuumiza mwengine kwa namna moja au nyingine.
 
Tausi ndege mzuri hujambo?
Tatizo unavumilia sana lakin unaye mvumilia hajui kama wewe unavumilia unaumia lkn kimsingi hayo maumivu hayajulikani umuhim wako unaonekana pale utakapo kuwa haupo
NB: Zungumza ondoa ukimya usipo niambia kuwa nakukanyaga ntasimama hapohapo mpaka upaze sauti ndio ntajua
 
Tausi89 mi nimeamua kukungea like kila comments zako utazoziweka kwenye huu uzi ili kukupunguzia maumivu unayoyapitia.
Ila kua makini hapa mabaharia wote wameshakaa attention wanasikilizia dodo linaangukia upande gani ili wawahi kuliokota faster.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…