Mambo Tausi89Mara nyingi tunawavumilia watu tunaowapenda bila kujua kama wao wangeweza tuvumilia vivyohivyo kama tunavyowavumilia.
Iwe rafiki, ndugu, ama mpenzi.. ukitakamfanyia jambo mtu yeyote, jiulize kwanza kama ingekua ni wewe unaefanyiwa hivyo.. utapenda/utafurahi, ama utamvumilia mtu akufanyiae matendo hayo unayopenda kuwafanyia wenzako?
Kwa namna hiyo tutakua tukidumisha utu, na kupunguza matatizo mbalimbali katika jamii, ikiwemo presha, magonjwa ya moyo, ama visa mbalimbali.
pole na yanayokukutaPoa..
Ahsante sana..mmh.. dunia hiipole na yanayokukuta
Ndio ukubwa huo mkuu ila ni kila penye uzito na wepesi upoAhsante sana..mmh.. dunia hii
Ahsante, ni kweliNdio ukubwa huo mkuu ila ni kila penye uzito na wepesi upo
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
karibu kwa faraja mamaAhsante sana..mmh.. dunia hii
Kuvumilia yasiyovumilika huleta magonjwa, kama kuna njia ya kuyaepuka na ayaepuke.Endelea kuvumilia
Ahsante sana..karibu kwa faraja mama
Ni kweli, nimekuja gundua kuna aina flani ya watu ambao hujifikiria wenyewe tuu, na hao wapo katika jamii yetu. Iwe ni ndugi, rafiki, ama mpenzi. Ukitizama vizuri dini zetu, hata sheria.. kwa namna moja au nyingine twjifunza kuwapenda wenzetu, hivyo basi ukimjali mtu yeyote kama unavyojijali, itasaidia sana jamii yetu kiwa ya amani. Tutapunguza magonjwa mbalimbaliMara nyingi Yale tunayoyavumilia huwa no mazito yanayohumiza mioyo yetu lkn Cha ajabu wenza wetu ndugu na marafiki yaan upande wa pili huwa wanashindwa kuvumlia hayo tuyavumiliayo sisi
Hatuwezi control fikra za watu wengine, kwasababu ya mazingira na malezi tulopata. Wapo watu wasokuwa na jema, hata pale ukitaka msaada wao huona ni utani tuu au kitu cha kukejeli ama kuvunja moyo.Tumekubaliana mwaka 2022 uwe ndo mwaka wa mwsho kuleta malalamiko ya kuumizana huku..kwanza nmekuja kugundua ukitaka kuwa desparate na mapnz leta mada ya kuumizwa huku...kuna watu wanajua kuvunja moyo,kukatisha tamaa na kwa uchache wao wapo washauri wazur pia...
Pole kwa unayopitia.....yatapita tuMara nyingi tunawavumilia watu tunaowapenda bila kujua kama wao wangeweza tuvumilia vivyohivyo kama tunavyowavumilia.
Iwe rafiki, ndugu, ama mpenzi.. ukitakamfanyia jambo mtu yeyote, jiulize kwanza kama ingekua ni wewe unaefanyiwa hivyo.. utapenda/utafurahi, ama utamvumilia mtu akufanyiae matendo hayo unayopenda kuwafanyia wenzako?
Kwa namna hiyo tutakua tukidumisha utu, na kupunguza matatizo mbalimbali katika jamii, ikiwemo presha, magonjwa ya moyo, ama visa mbalimbali.
Mara nyingi tunawavumilia watu tunaowapenda bila kujua kama wao wangeweza tuvumilia vivyohivyo kama tunavyowavumilia.