Uvumilivu kwenye ndoa

Ushauri wangu kwako kaoe mkuria baba ssi wakuria watoto wetu wa kikuria huwa tunawapa mafunzo ya kijeshi bila kuwapeleka jkt ukibahatka kumpata mmoja atakufundisha ukakamavu na uvumilivu kwli2.nawasilisha wakuu.

na ntahitaji kwenda na kigunia cha dawa za kupunguza maumivu plus helmet
 
tena hao ndio waguma kukubali ndoa ivunjike wanakwambia vumilia hadi kifo kitakapowatenganisha



Wewe ogopa sana unapewa cheti bila mtiani...mitiani yake ndo hiyoo na jibu lake ndo hilo uvumilivu. Na mkataba ulioingia uko wazi kifo ndo kitawatenganisha.
 
Reactions: lin

Ukweli uvumilivu unakipimo chake, ukizidiwa itabidi ubwage manyanga maana utakua mtumwa
 
Reactions: lin
You must became down bse ndoa ni kuvumilia wakati wa shida na raha ktk ulimwengu wa michezo ni kusikilizana.

hiv waposemaga for better for worse kumbe nafaa nivumilie vtu kama kupigwa , kugonganishwa na michepuko , kuombwa tigo, matusi kejeli n dharau.... really af you tellig me nivumilie ?!!!
baba paroko...
 
Pole dada kwa kudundwa kila mara.....vumilia tu ndoa ndoano
 
Pole dada kwa kudundwa kila mara.....vumilia tu ndoa ndoano

siko kwenye ndoa & haijanitokea mimi siku ikinitokea sintafikiria mara mbili kwa kweli,mwanamke hapigwi mangumi jameni
 
Ukweli uvumilivu unakipimo chake, ukizidiwa itabidi ubwage manyanga maana utakua mtumwa

kabisa,kuna vya kuvumilia na kuna vingine havivumiliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…