Uvumilivi unanishinda

Uvumilivi unanishinda

Mtumikie MUNGU kwa karibu ni njia bora ya kuepukana na vishawishi na majaribu, pia epuka makundi ya wasichana wenzako au wanawake wasiona tabia njema za kumpendeza MUNGU.
 
Sizani kama uko siriaziii.
Niko nataka nusra weka picha hapa tuone.
 
Ukiona una kitu lakini unashindwa kukitunza basi dawa yake ni kukitoa
Yanini upate tabu kukaa na kitu usichojua thamani yake!
Siku ukijua thamani yake tayari hakipo
 
Ukiona una kitu lakini unashindwa kukitunza basi dawa yake ni kukitoa
Yanini upate tabu kukaa na kitu usichojua thamani yake!
Siku ukijua thamani yake tayari hakipo
Namaanisha jitunze acha kuwa na mashaka.
 
Vuta miaka 2 tena,
ukizidiwa uje pm kwa ushauri maridhawa
 
Vuta miaka 2 tena,
ukizidiwa uje pm kwa ushauri maridhawa
 
Vuta miaka 2 tena,
ukizidiwa uje pm kwa ushauri maridhawa
 
Vuta miaka 2 tena,
ukizidiwa uje pm kwa ushauri maridhawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom