alhumaira 196
Member
- Apr 8, 2018
- 16
- 22
Habari za sahizi
Mimi ni binti nina miaka 22 sasa
Nimefanikiwa kujitunza mpaka sasa sijawahi kufanya mapenzi bad bikra na ninatamano sana nikae hiyo mpaka nitakapoolewa lakini wa kunioa sijampata
Naona kama naelekea kushindwa naomba mniweke kwenye dua zenu niendelee kuwa na subira na kujituliza ili ndoto yangu itimie
Mnishauri nifanye nini nisije kumkosea Mungu na kuingia majaribuni