mchapa shughuli
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 549
- 423
Mali ya umma! Hutakiwi kuwa na uchungu nayo!
Haya aisee kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake ila tusilalamikie ufisadi wowote yaonesha hizi ndio tabia zetu,tukiwa hatuna kitu tunalalamika mno ila tukipata rungu tunasahau ni ubadhirifu tu..Malalamiko mengine bwana? sasa dereva amebaki kwenye gari na joto la posta lile unataka azime AC aendelee kuvuja jasho bila sababu? Kama ni hivyo basi mabosi nao wawaambie kabisa madereva wao muda watakaoutumia kwenye vikao, ili madereva waende wakatafute mahali pa kupumzika wakati wanasubiri mabosi wao wamalize vikao. Hata kama mimi ndo ningekuwa dereva wala nisingekubali kuumia na joto wakati AC ipo. Yaani nyie mmeona la AC tu kuliko mamilioni ambayo watu wanalipana bila kufanya kazi?
Kweli hizo OC zingebanwa na kiasi kingine kiende mambo muhimu halafu tungeona hayo mafuta ya kuchezea wangetoa wapi..Mkuu unashosema ni kweli, kwavile wanajua ile bajeti ya OC (Other charges) bado ipo na wanachofanya ni kuhakikisha wanaitumbua vilivyo. Cha ajabu ni kwamba mabosi wanaandaa mikakati ya kuweka kwenye makabrasha na siku ya siku watakuambia fedha ya utekelezaji haipo. Hii ndo tanzania ambayo mibango mingi sana lakini utekelezaji ni ziro.
ashuke asome magazeti na gari izimwemalalamiko mengine bwana? Sasa dereva amebaki kwenye gari na joto la posta lile unataka azime ac aendelee kuvuja jasho bila sababu? Kama ni hivyo basi mabosi nao wawaambie kabisa madereva wao muda watakaoutumia kwenye vikao, ili madereva waende wakatafute mahali pa kupumzika wakati wanasubiri mabosi wao wamalize vikao. Hata kama mimi ndo ningekuwa dereva wala nisingekubali kuumia na joto wakati ac ipo. Yaani nyie mmeona la ac tu kuliko mamilioni ambayo watu wanalipana bila kufanya kazi?
Mali ya umma! Hutakiwi kuwa na uchungu nayo!
we unaonaje..is it uvujaji or ufujaji?refer your heading
Uko sawa,lakini uvujaji pia imetoka kwenye neno kuvuja yaani kupotea mfano kimiminika kinapovuja toka mahali..ufujaji! bana if im not mistaken